Swali gani mkuu? Kwanza usinifokee 🤣🤣Hujajibu swali uliloulizwa
Hivi hao wanaoenda field mtakuwa mnawapa gloves, au kama taasisi ina bajeti ya glove moja, itabidi wabadirishane na watoto wenu? Nani kawaambia kwamba ikiwa ni taasisi ya serikali basi yenyewe haina gharama za ziada?
Watu wanapenda sana mteremko. Wanadhani serikali inaweza shughulikia kila kitu.
Hospitalini; wanafunzi wa utabibu/udaktari, nurses, lab techs & scntstsNew members mnasapotiana bila kutueleza sisi expert members ni wapo mlitozwa pesa ili kufanya field,Mimi kama mwalimu,walimu wa field wakija shuleni kwetu Huwa tuna wasapoti kwa kuwapa makazi,chakula na fedha kidogo za kujikimu,sasa huko watozwako pesa ili kufanya field ni wapi?
Awapii huu utaratibu ni wakitambo mkuu 2018&2019 mimi na wenzamgu tulihangaika sana kufanya hizo Field hizo Hospitali hasa za mikoa wana utaratibu kabisa nafikiri ni Nchi nzims dakika za mwishon sana tukapata hospitali moja ya Private kubwa tu tuliombwa box moja la Gloves lenye Pieces 100 tu toka hapo sikufanya tena fields zangu hospital za GVTNaamini huu ujinga mtakuwa mmeanza kufanya baada ya Magufuli kufariki
Mmmh mbona mimi kuna ndugu yangu na juzi alikuwa kwenye field kwenye hospitali ya serikali na wala hakutozwa hata senti tano?Sema ukweli; taasisi nyingi ni Hospitali na Zahanati za serikali kwa wanafunzi wa vyuo vya afya vya Private ndiyo wahanga wakubwa wa kutozwa hela wakienda field.
Ni sawa kuchangia materials siyo tatizo, changamoto ni pale unapoombwa fedha nyingi unaweza kuta unaombwa mshahara wa mtuHivi hao wanaoenda field mtakuwa mnawapa gloves, au kama taasisi ina bajeti ya glove moja, itabidi wabadirishane na watoto wenu? Nani kawaambia kwamba ikiwa ni taasisi ya serikali basi yenyewe haina gharama za ziada?
Watu wanapenda sana mteremko. Wanadhani serikali inaweza shughulikia kila kitu.
Zipo sehemu nyingi tu mfano hospital ya mkoa Iringa, mkoa wa mwanza pale sekoutoureNew members mnasapotiana bila kutueleza sisi expert members ni wapo mlitozwa pesa ili kufanya field,Mimi kama mwalimu,walimu wa field wakija shuleni kwetu Huwa tuna wasapoti kwa kuwapa makazi,chakula na fedha kidogo za kujikimu,sasa huko watozwako pesa ili kufanya field ni wapi?
Wewe hujui kitu! Alilipa kupitia chuo. Nitajie hospital nikueleze ni shs ngapi zinalipwa kwa idadi ya wanafunziMmmh mbona mimi kuna ndugu yangu na juzi alikuwa kwenye field kwenye hospitali ya serikali na wala hakutozwa hata senti tano?
Hela zinazotozwa zinaambatanishwa katika Karo ya mwanafunzi. Lakini kila Chuo cha Private kinalipia field kuanzia Certificate, Diploma na Bachelor (MD).New members mnasapotiana bila kutueleza sisi expert members ni wapo mlitozwa pesa ili kufanya field,Mimi kama mwalimu,walimu wa field wakija shuleni kwetu Huwa tuna wasapoti kwa kuwapa makazi,chakula na fedha kidogo za kujikimu,sasa huko watozwako pesa ili kufanya field ni wapi?
Unaweza taja ofisi inayofanya hivyo?Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.
Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.
Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?
- Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
- Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
- Gharama za nauli na chakula.
- Majukumu anayopatiwa.
Kwani hizo gloves wanachezea?Hivi hao wanaoenda field mtakuwa mnawapa gloves, au kama taasisi ina bajeti ya glove moja, itabidi wabadirishane na watoto wenu? Nani kawaambia kwamba ikiwa ni taasisi ya serikali basi yenyewe haina gharama za ziada?
Watu wanapenda sana mteremko. Wanadhani serikali inaweza shughulikia kila kitu.
Temeke Hospital. Pesa inayolipwa chuo ni kwa ajili costs mbalimbali ikiwemo usafiri wa kuwapeleka kwenye maeneo ya mafunzo/hospitali na kurudi chuo.Wewe hujui kitu! Alilipa kupitia chuo. Nitajie hospital nikueleze ni shs ngapi zinalipwa kwa idadi ya wanafunzi
We nae kila kitu Magufuli. hata mkeo umeanza kumlala baada ya jamaa kufariki nini!!!!?Naamini huu ujinga mtakuwa mmeanza kufanya baada ya Magufuli kufariki
Unafurahisha! Hujui Chuo kinalipa hata lawalawa ya MOI, katibu wa hospital, Head of Department etc. Na zinalipwa katika Account zao. Hujui kila mwanafunzi analipa hii kwa control number.Temeke Hospital. Pesa inayolipwa chuo ni kwa ajili costs mbalimbali ikiwemo usafiri wa kuwapeleka kwenye maeneo ya mafunzo/hospitali na kurudi chuo.
Taasisi gani hiyo, katajeKumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.
Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.
Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?
- Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
- Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
- Gharama za nauli na chakula.
- Majukumu anayopatiwa.
Wanakidai chuo kwa idadi ya wanafunzi kilicho nacho. Na kwa taarifa yako, Chuo huwa hakina hela, hela hutoka kwa wanafunzi. Chuo ni mkusanyaji wa hela ya wanafunzi.Inawezekana kukawa na gharama za field, ila zinatakiwa kuingizwa kwenye malipo ya chuo pamoja na gharama nyingine. Sio sahihi taasisi ya serikali kumlipisha mwanafunzi moja kwa moja.
Chuo kipi hicho?Unafurahisha! Hujui Chuo kinalipa hata lawalawa ya MOI, katibu wa hospital, Head of Department etc. Na zinalipwa katika Account zao. Hujui kila mwanafunzi analipa hii kwa control number.
Kitu hujui ni bora kunyamaza. Tumehusika kulipa, kwa mantiki hiyo tuna uhakika na tunachozungumzia. Mwananyamala, Amana na hata Muhimbili uliza wanafunzi wa MD wa private hata CMT etc