KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unafurahisha! Hujui Chuo kinalipa hata lawalawa ya MOI, katibu wa hospital, Head of Department etc. Na zinalipwa katika Account zao. Hujui kila mwanafunzi analipa hii kwa control number.

Kitu hujui ni bora kunyamaza. Tumehusika kulipa, kwa mantiki hiyo tuna uhakika na tunachozungumzia. Mwananyamala, Amana na hata Muhimbili uliza wanafunzi wa MD wa private hata CMT etc
Nimekutajia Temeke Hospitali na wiki iliyopita tu walikuwa hapo wanafanya mazoezi mbona hawakulipa?
 
Chuo kipi hicho?
Kama wewe ni mwanafunzi, huwezi jua. Uliza utawala watakupa details kamili. In fact Vyuo vya Private vinamgharamia kila mwanafunzi wa MD kwa ajili ya Rotation zaidi ya 5.0 M kwenye hizi hospitali.
 
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.

Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.

Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
  • Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
  • Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
  • Gharama za nauli na chakula.
  • Majukumu anayopatiwa.
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?
Vyuoni mnalipishwa field practical fee. Je mbona huhoji hiyo hela inatumikaje? Kama hutaki vituo vikutoze basi na chuoni usilipie ile fedha.
 
Kama wewe ni mwanafunzi, huwezi jua. Uliza utawala watakupa details kamili. In fact Vyuo vya Private vinamgharamia kila mwanafunzi wa MD kwa ajili ya Rotation zaidi ya 5.0 M kwenye hizi hospitali.
Gharama zinazolipwa chuo ni kwa ajili ya gharama za usafiri wa kwenda na kurudi kwenye hospitali za mafunzo. Wewe umesema ulipewa control number na kulipa kwenye account zao mbona unabadirika tena? Tupe ukweli ili tufuatilie acha blabla mkuu!!
 
Inawezekana wewe ni mwanafunzi, huwezi kujua utawala wanafanya nini.
Wewe umesema hapo juu ulipewa control number mbona umeanza kubadirika tena? Tupe hiyo control number tutajua kama kweli ni malipo tajwa.
 
Gharama zinazolipwa chuo ni kwa ajili ya gharama za usafiri wa kwenda na kurudi kwenye hospitali za mafunzo. Wewe umesema ulipewa control number na kulipa kwenye account zao mbona unabadirika tena? Tupe ukweli ili tufuatilie acha blabla mkuu!!
Huelewi kaa kimya. Hopitali zinalipwa kwa Control Number na Watumishi wa hospitali wanalipwa katika account zao binafsi
 
Huelewi kaa kimya. Hopitali zinalipwa kwa Control Number na Watumishi wa hospitrali wanalipwa katika account zao binafsi
Wewe unayeelewa mbona unashindwa kutoa hiyo control number ili tufuatilie umebaki kutoa maneno matupu tu!!?
 
Nakueleza ni vyuo vyote vya Private vya Afya viwe vya Diploma au degree. Jitahidi katika maisha yako kutafuta si kuletewa.
 
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.

Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.

Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
  • Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
  • Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
  • Gharama za nauli na chakula.
  • Majukumu anayopatiwa.
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?
Zitajeni hizo taasisi njaa ili zione aibu kudhulumu damu changa
 
Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?
Duh,
Ndiyo kwanza nasikia hili,
Huu utaratibu wa TOZO kwa wanafunzi wa field:-
1). Uliasisiwa na nani?
2). Ulianza lini?
3). Unatekelezwa wapi?
 
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.

Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.

Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
  • Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
  • Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
  • Gharama za nauli na chakula.
  • Majukumu anayopatiwa.
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?
Muachishe shule muunganishe katika siasa
 
Kama ni kweli basi hii si sawa.
Toa ushahidi hapa kisha mamlaka husika ije kutoa ufafanuzi.
Hawawa tendei haki wadogo zetu mbona sisi tulifanya bure kabisaa.
 
Mnataka bure ili hali mkifika field mnaharibu vifaa mnataka pesa za nani zitafidia?
Upo field unata WiFi ya ofisi ufanyie nini?
Hakuna cha bure katika maisha haya tubadili fikra zetu
 
Nakueleza ni vyuo vyote vya Private vya Afya viwe vya Diploma au degree. Jitahidi katika maisha yako kutafuta si kuletewa.
Wewe ni muongo tu ndio maana umeshindwa kutoa hiyo control number uliyodai kuitumia kulipa hizo pesa.
 
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.

Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo. Utaratibu wa kulipa ni kwa siku, wiki, na hata kwa mwezi. Mfano: mwanafunzi anaombwa kulipa elfu tano kwa siku kwa muda wa miezi mitatu na zaidi.

Je, serikali imezingatia hali za wanafunzi kama:
  • Kipato cha mwanafunzi, ikiwa hana chanzo kingine zaidi ya wazazi maskini.
  • Jukumu la ulipaji ada chuoni, ambapo hulipa ada sawa akiwa darasani.
  • Gharama za nauli na chakula.
  • Majukumu anayopatiwa.
Sasa tujiulize sote: je, suala hili ni sahihi kwa kundi hili linalohitaji jicho la upekee sana ili kutimiza ndoto na malengo ya kuijenga kesho bora? Ikiwa kijana anasoma kwa mateso na gharama nyingi, na baada ya hapo anarudi kuungana na jamii inayohitaji ajiajiri, mtaji unatoka wapi ikiwa alimaliza fedha kutafuta nafasi ya kujifunza kwa vitendo?

Ni katika serikali ya mama tu. Yale yale ya kula kwa urefu wa kamba. Kuliko staarabika wanafunzi wa field kama ilivyo intern doctors, hulipwa!

Akisikia watu wanasema apumzike awe anaelewa!
 
Kuna watu mnachanganya, kuna clinical rotation. Hii ni sahihi kulipia kwasababu wanafunzi wanafundishwa. Wanafunzi wa private ndo wanaolipia, wa serikali hawalipi coz hao madaktari ni watumishi wa serikali. Kinacholalamikiwa hapa ni field. Mwanafunzi huyu wa udaktari kamaliza labda mwaka wa pili kwa cmt au wa tatu au wa nne. Anaenda field yeye kaka yeye kwa barua toka chuo au halmashauri. Sio kwamba chuo ndo kinamuombea no! Je, mwanafunzi huyu anatozwa pesa yanini? Unasema anaharibu vifaa? Unaweza kutoa mfano? Anaviharibu wakati gani? Kwani anakua ameenda kucheza?
 
Pale sekou toure bila 50k logbook hisainiwi na confidential
Wengine nasikia mpaka 100k na unapewa control number ukalipie kabisa
Na usipolipa wanakwambia usijee na kazi unapiga kama Kawa, sometimes haohao wanaokuomba pesa wanakwambia ubaki nao Hadi jioni ili umsaidie kazi za hapa na pale
 
Back
Top Bottom