Uchaguzi 2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

Tume mteuzi ni huyo anayejiita KICHAA. Angekuwa ana mapenzi ya kweli na Tanzania na Watanzania basi angemsikiliza Mkapa na kuhakikisha uchaguzi huu unasimamiwa na Tume huru lakini hakufanya hivyo ili kufanya uhuni wake.

Kama haki hakuna tuilaumu NEC na sio JPM??
 

Ni ku test uvumilivu wa watu
 
Kabisa mkuu, hata ambao wanadhani wananufaika na kinachoendelea watambue kuwa na wao hawatakuwa salama siku mambo yakiharibika, wakati marehemu mugabe anafanya makosa wapo waliokuwa wanamtetea na kumuunga mkono, leo hii wazimbabwe wote wanateseka bila kujali itikadi zao
 
Hivi hiyo "Karma" inaweza ikawa ndiyo inamuandama Paul Makonda?
 
Amekufwa, kufwa, kufwa kabisaaaa, adhabu kali ikawe just yake
 
Shetani na karma ni mapacha. Cha kushangaza ni kwa nini viongozi wetu wa kiimani wanaamua kuw upande huo. Hivi hawaoni hii dhuluma?
Hamna wasaliti na wanafiki kama viongozi wa dini.
Alex Gehaz Malasusa, I hate you, chawa mkubwa wa magumashi, ulitaka KKKT Dayosisi ya Mashiriki na Pwani uigeuze kuwa tawi la CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…