Uchaguzi 2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

Karma is REAL and always a BITCH.
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.

Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.

Kutunyima haki ya kuchagua tunao wataka na kutubambikia wabunge ambao sio tuliowataka wala kuwachagua haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
 
haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
Mkuu The Boss, kwanza naamini JPM, hakuwahi kuijua karma, and its very unfortunately, it's true ni karma umekula kichwa!.

P
 
Kuielewa karma inahitaji kukua na sio kimwili ni kukua ki ufahamu na hapo ndo shida ilipo, maana kwenye Karma ndo kuna kanuni na sheria mama za maumbile hazijawahi athirika na muda wala ukuu wowote toka mwanzo, ni ku zi tii tu kadri ya uwezo wetu hakuna wa kukaa juu yake na wala hakuna siri isio ‘uchi’ kwenye Karma, na hauwezi ondoka ktk uso wa ardhi bila kusimama mbele yake‘be humble always’
True, naunga mkono hoja kuhusu karma.
P
 
Hivi hiyo "Karma" inaweza ikawa ndiyo inamuandama Paul Makonda?
Yes, it is, and PCM, has been spared because he realized and reversed it, ndio salama yake, vinginevyo ingeisha kula kichwa!.

For the sake ya kujielimisha kuhusu karma, tembelea mitaa hii...

P
 
Hadi wewe umeandika haya??!!

Kweli kuna jambo litatokea mwaka huu!!! Hadi wana CCM mnahoji hili suala??? Kweli ukombozi umekaribia!
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.

Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.

Kutunyima haki ya kuchagua tunao wataka na kutubambikia wabunge ambao sio tuliowataka wala kuwachagua haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
Haya maneno yatatisha wengi, Jambo likishinda watu wamwachie mungu
 
P

Hii mada niliielewa sana na kweli karma ina exist.
 
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.

Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.

Kutunyima haki ya kuchagua tunao wataka na kutubambikia wabunge ambao sio tuliowataka wala kuwachagua haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
Karma imemchukuwaaa uliona mbal Sana mkuuu mungu ametuepushia fezuli Kam huyu alfu wanaongea nch hii bila jpm hakuna
 
Back
Top Bottom