Uchaguzi 2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

Magufuli akiwa mbunge alikuwa anapita kwa mfumo huu ambao kwa sasa ameutambulisha nchi nzima.

Na kama tukiendelea kumchekea chekea akafanikiwa kuutekeleza basi wapinzani hatutapata nafasi tena kuchagua wagombea tunaowataka.

Tunatakiwa kuungana kuukomesha huu uhuni wa Chatoboy unaojaribu kupandikizwa nchini.
Aisee
 
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.

Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.

Kutunyima haki ya kuchagua tunao wataka na kutubambikia wabunge ambao sio tuliowataka wala kuwachagua haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
Karma is a bitch The Boss uliona mbali, yeye ushindi wa 84% wa kihistoria hata miezi 5 hakumaliza
 
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine.

Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani wake Kwa hila ni kutudharau na kutotuheshimu sisi ambao sio wananchama wa wa vyama.

Kutunyima haki ya kuchagua tunao wataka na kutubambikia wabunge ambao sio tuliowataka wala kuwachagua haki ya mtu haiendi bure mbinu zote za hila zinazofanywa bado mwisho kabisa kuna 'karma' karma haiangalii nafasi ya mtu ..kila dhuluma huwa inajibu ni suala la mda tu.

Magufuli kama Rais kazi yake ya kwanza ni kusimamia haki Kwa Taifa kugeuka na kusimamia dhuluma badala ya haki moja Kwa moja ni kutaka 'karma' ifanye kazi..

Je, yeye Magufuli haogopi karma?
Karma imeshatenda yake.
Bado hao walioingia kwa dhulma,umauti utawanyofoa mmoja baada ya mwingine.
 
Yule wa Zanzibar alipita ubunge akaona aachie ngazi nae ameogopa karma. Dhuluma mbaya sana na kujiona unaweza kila kitu.
 
Back
Top Bottom