cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla unaomba tukutane unatuma nauli, kukubali kuja si tiketi ya kutaka tulale pamoja,
Wewe unune usinune nisingeweza kulala na wewe bila kukufahamu zaidi, licha ya kunifukuza nilienda kuchukua chumba lodge na kulala na kurudi kwangu.
Wanaume jaribuni kuwa wavumilivu
Wewe unune usinune nisingeweza kulala na wewe bila kukufahamu zaidi, licha ya kunifukuza nilienda kuchukua chumba lodge na kulala na kurudi kwangu.
Wanaume jaribuni kuwa wavumilivu