Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Mpaka umfahamu vizuri shost? Kweli unakuwa huna upwiru😔 mie game linaanzia mlangoni vile tu kanipokea.(kuoga baadae🤒).Unajua Nini cute....kama ni mtu mbaya bas hata lodge hukustahili kwenda maana usingetoka salama bila kuchukua Figo yako.Umemtesa bure bro wa watu😥
 
Kihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
Basi mazoea fanya kwenye simu siku mkionana mnavunja amri ya sita ya Mungu (sishauri)
Ila kwenda nyumba ya wageni na mwanaume utegemee kulala bila kuguswa hiyo ni ngumu na utaona wanaume wakorofi bure
 
Jamaa alikosea mbinu za kibaharia; ningelikuwa mimi ningekuambia tulale wote na tusifanye chochote, ikifika ile mida ya wachawi, unashangaa kitu kiko ndani, na wewe kujikuta unatoa ushirikiano.

Anyway; hukumpenda jamaa, ndio maana ukawa tayari kumpoteza; muombe msamaha mrudi mkayajenge, vinginevyo mademu wako wengi sana, unakataa wewe anatokea bonge la curvy anachukua chuma.​
 
Sasa hata ukimfahamu si utaliwa tuuu.
Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea

Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.
Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
Aloo we jamaa upewe ulinzi
 
Mwanaume ukitaka kuheshimika be gentle,
Maintain kuropoka
Maintain mwili usiwe bonge na mwembamba
Vindevu vya uongo na kweli ,usiwe na mandevu holela
Pamba kali za kigentle na siyo kitoto wala kibishoo,
Afu balance shobo,

Utaombwa ww shoo na mdada ,na mkazie kwanza kidogo usiwe mwepesi pili usiwe mwaname wa kila mdada ,utamaintain heshima
 
Kihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
Ukweli ni kwamba Wanawake mnajua kua siku hizi ukimpa Mwanaume k kwa Mara ya kwanza ni Wanaume wachache sana huwa wanarudi,wengi hukimbia mazima, ndiyo maana mnataka kuchuna kwanza ndiyo baadae huko mbeleni utowe k yako,na unakua huna wasiwasi kua hata akikimbia wwe Usha chuna zako za kutosha huna hasara!!
 
Sasa hata ukimfahamu si utaliwa tuuu.
Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea

Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.
Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
Good point
 
Mwanaume ukitaka kuheshimika be gentle,
Maintain kuropoka
Maintain mwili usiwe bonge na mwembamba
Vindevu vya uongo na kweli ,usiwe na mandevu holela
Pamba kali za kigentle na siyo kitoto wala kibishoo,
Afu balance shobo,

Utaombwa ww shoo na mdada ,na mkazie kwanza kidogo usiwe mwepesi pili usiwe mwaname wa kila mdada ,utamaintain heshima
Kwa namna hii maisha lazma yawe magumu
 
Back
Top Bottom