Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako,nikawa naanza kukuelewa,ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla unaomba tukutane unatuma nauli, kukubali kuja si tiketi ya kutaka tulale pamoja,

Wewe unune usinune nisingeweza kulala na wewe bila kukufahamu zaidi,licha ya kunifukuza nilienda kuchukua chumba lodge na kulala na kurudi kwangu
Wanaume jaribuni kuwa wavumilivu
🤣🤣🤣🤣🤣bora ungebaki kwenu
 
Sasa mkuu ulidhani unafunga safari kwenda kwake mpige story yani ina maana ni mbali kama ilibdii ulale lodge ulipofukuzwa.
This is Afrika acheni kuwaza kama mnavyoona kwenye movie za kikorea. Afrika ukija geto tafsiri ni kwamba umekubaliana na matokeo.
This is Africa [emoji28]
 
Ila tumia maneno mengine siyo nipe muda nikuzoee. Wanaume wengi ambao ni serious, na ni alpha male na mwenye uwezo mkubwa wa kiakili hawezi kukubali kupewa muda, kwenye akili yake hiyo ni tafsiri ya wewe kusema hapana.

Watatafuta chombo kingine, hawataki kuchezewa akili na wanawake ambao wanataka attention kutoka kwao alafu hawataki kuirudisha. Isitoshe unaweza muomba mkutane next time mjuane zaidi. Mi nakuambia hivyo maana asilimia 98% ya wanawake hutamani kuwa na beta male( submissive male) baada ya kupigwa matukio na wakishampata , huwachukia kwasababu sio alpha male.

Mi nakuambia tu.
Tafsir Yake
Ke wengi hawajui nn wanataka[emoji4]
 
Mpaka umfahamu vizuri shost? Kweli unakuwa huna upwiru[emoji17] mie game linaanzia mlangoni vile tu kanipokea.(kuoga baadae[emoji855]).Unajua Nini cute....kama ni mtu mbaya bas hata lodge hukustahili kwenda maana usingetoka salama bila kuchukua Figo yako.Umemtesa bure bro wa watu[emoji26]
Nakazia[emoji4]
 
Mwanaume ukitaka kuheshimika be gentle,
Maintain kuropoka
Maintain mwili usiwe bonge na mwembamba
Vindevu vya uongo na kweli ,usiwe na mandevu holela
Pamba kali za kigentle na siyo kitoto wala kibishoo,
Afu balance shobo,

Utaombwa ww shoo na mdada ,na mkazie kwanza kidogo usiwe mwepesi pili usiwe mwaname wa kila mdada ,utamaintain heshima
Sahii
 
Ulikuwa hujui? Wanaume anaomba mtoke dinner utashangaa anabeba pakti ya rough rider na vuzi kanyoa wenyewe wanaita “Just in case” [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu Sina
 
Wanawake wa siku hizi uliniambia muonane ,utasikia eti tuma nauli yaan kuja kuonana utumiwe nauli ,mara vocha blabla nyingi Sana yaan
 
Tafsir Yake
Ke wengi hawajui nn wanataka[emoji4]
Hawajui kabisa bro, mi siwezi poteza muda wangu Kwa anayetaka kunipotezea muda.
Jibu iwe ndio au hapana.
End of the story.
 
Back
Top Bottom