Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Sasa tunatoka ili tufahamiane rough rider za nini?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mambo ya chumbani ni kufahamiana. Nature ya mwanamume hata outing tunawaza jinsi ya kupata chance ya kuichakata au nyie mnadhani ni kwenda tu kula mikuku ya KFC na kurudi kwenu?
 
Sasa hata ukimfahamu si utaliwa tu.

Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea

Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.

Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
Killshot
 
Back
Top Bottom