Sifa za Alpha male:
1. Ni kiongozi.
2. Haendeshwi na hisia, anaendeshwa na akili .
3. Anajua anachokitaka kwenye maisha na Kwa mwanamke
4. Ana msimamo.
5. Haendeshwi na wanawake, yeye hufukuzia ndoto zake.
6. Anataka kuwa bora kuliko jana na kumzidi mwanamke kwa asilimia kubwa.
7. Ni confident person.
8. Husikiliza ushauri kwa mwanamke wake na kupima kama unafaa. Yuko radhi kumchukiza mwanamke Kwa Faida yake yeye na kizazi kijacho.
Beta male ni submissive male( wananyenyekea, kwake mwanamke ni Mfalme na kitu asichokitaka kupoteza hata kama akionyesha tabia zisizofaa), Hawa ndo wanaombembeleza mwanamke hata kama kosa hakulifanya yeye. Anaendeshwa na mwanamke kama gari bovu, mwoga na sio mtu wa maamuzi, maamuzi yake asilimia kubwa huamuliwa na mwanamke.
Beta sio bora kuliko mwanamke aliye naye, mwanamke alimkubali kwa kuwa alikosa attention kutoka kwa alpha males kufunga pingu za maisha. Wanasupport feminism na Haki sawa kwenye ndoa. Kiufupi hana meno .