Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Kama hakukula huyo jamaa nae ni wale wale,ingekuwa Mimi ni huyo jamaa sahizi niko mwepesiiiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka kujuana kwanza uwe unatumia nauli yako ukiitwa au mpe baba yako kama ni kuzoeanaKihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
Kivipi?? Tatizo cyo kupata mbususu tatizo ni quality,Kwa namna hii maisha lazma yawe magumu
Kwahiyo ulimfata hadi lodge kupiga story na kujuana sio?Nilihama lodge
Mbususu n mbususu tu mkuu. Yan kipndi nasoma niliwahi kwenda fanya utafiti usio rasmi kwenye madanguro. Nlichotoka nacho ni wanajiuza na tulio nao mtaa ni wale walee issue ni umekutana nae wapi.KKi
Kivipi?? Tatizo cyo kupata mbususu tatizo ni quality,
Ikijiweka quality utaipata quality na sometimes siled,bcoz u will looking gentle,na humble
#Nakupa hiyo,cyo unazipata za mwajuma ndalandefu
Duh nyie ndio mkifika 30 mnaanza kumsumbua MwamposaTukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
KhaaMpaka umfahamu vizuri shost? Kweli unakuwa huna upwiru[emoji17] mie game linaanzia mlangoni vile tu kanipokea.(kuoga baadae[emoji855]).Unajua Nini cute....kama ni mtu mbaya bas hata lodge hukustahili kwenda maana usingetoka salama bila kuchukua Figo yako.Umemtesa bure bro wa watu[emoji26]
🤣🤣🤣 Umekaa hadi chini😊Khaa
Umenikosha sana kama hutojari ni pmUlichofanya siyo sawa, kama ulikuwa humtaki basi hizo pesa zake za vocha usingekuwa unazitumia, ungemrudisha mwenyewe hata kama alikupa kwa hiari yake ujaomba. Lakini kitendo cha kufika mpaka lodge sidhani kama mlipanga kumeet na kupiga story tu dear. Na kama ulitaka story tu bila sex, basi ungemweleza kabla ya kumeet ,kuwa nahitaji tukutane sehemu open, tuzungumze kwanza kwa Leo. Hivyo yeye mwenyewe angechuja kama akubali atume nauli uende au lah!!. Otherwise basi humpendi na ndiyo maana ukakataa kwenda naye step nyengine. Mimi huwa kama sihitaji ku do huwa ninasema kabisa kabla ya kupanga mipango ya kumeet sehemu Fulani, iwe open kabisa, sasa yeye achuje akubali au lah iharishwe. Mambo ya kuzungushana yamepitwa na wakati dear.
Kuna mshikaji wangu jana alimpiga romance girl mpya,mara pah akashangaa anakutana na kitu kigumu kutoa demu kumbe kaka maragwe,sasa ndo shid ya kuokoteza,maintain your status utapata quality,Mbususu n mbususu tu mkuu. Yan kipndi nasoma niliwahi kwenda fanya utafiti usio rasmi kwenye madanguro. Nlichotoka nacho ni wanajiuza na tulio nao mtaa ni wale walee issue ni umekutana nae wapi.
Wote wanafanana.
Ukibishia hili tembelea kote wanakojiuza ulete mrejesho hapa
pisi kali anajiuza na mwajuma ndalale nae anajiuza ila wote malaya tu
Ulienda hadi kwake kufanya nini sasa?Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako,nikawa naanza kukuelewa,ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla unaomba tukutane unatuma nauli, kukubali kuja si tiketi ya kutaka tulale pamoja,
Wewe unune usinune nisingeweza kulala na wewe bila kukufahamu zaidi,licha ya kunifukuza nilienda kuchukua chumba lodge na kulala na kurudi kwangu
Wanaume jaribuni kuwa wavumilivu
Na huo muda anakuwa anatafuta Hela?we toa mzigo mwache jamaa aendelee kuzisakaa....achez kudanganywa na hizo movie za kiphilipnesTukutane hata mara 10 hivi ana kwa ana, halafu tuwe tunapiga stories muda usiopungua saa 3,hapo nakuzoea na hata ukihitaji sasa nakupa bila tatizo
Hivi vitoto vya 20s haviwez kuelewa TYMpaka umfahamu vizuri shost? Kweli unakuwa huna upwiru😔 mie game linaanzia mlangoni vile tu kanipokea.(kuoga baadae🤒).Unajua Nini cute....kama ni mtu mbaya bas hata lodge hukustahili kwenda maana usingetoka salama bila kuchukua Figo yako.Umemtesa bure bro wa watu😥