Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla unaomba tukutane unatuma nauli, kukubali kuja si tiketi ya kutaka tulale pamoja,

Wewe unune usinune nisingeweza kulala na wewe bila kukufahamu zaidi, licha ya kunifukuza nilienda kuchukua chumba lodge na kulala na kurudi kwangu.

Wanaume jaribuni kuwa wavumilivu
 
Sasa hata ukimfahamu si utaliwa tu.

Kikubwa we jua ukienda kwa mwanaume unaenda kuliwa hayo ya kuwa mpaka kufahamiana ni ya watoto wa chekechea

Mnafahamiana kwani mnampango wa kufunga ndoa. Kula/liwa endelea na maisha mengine.

Maigizo igizo ni kupoteza muda na fedha zisizo za lazma kupotea
 
Kihisia wanaume na wanawake tupo tofauti, ili nienjoy lazima niwe tumezoeana , si vinginevyo
 
Acha upuuzi, unapokea nauli ya nini sasa kama hutaki tulale wote? Kama anaetuma nauli sio kaka yako au baba ako nenda umevua pichu binti mdogo ww.
 
Kwa nini ulikubali kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…