Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Ahsante kwa shule kaka
 
Kwanza huyo aliye kutumia nauli kajitahidi sana mmi mwana mke asiye weza kujilipia nauli ya kuja kwangu huyo hanifai ...... kajitahidi kukutumia nauli bado useme mapaka tuzoeane nitakufumua huto amini ..... ndomana stakagi shobo na mademu wakiloko [emoji125][emoji125]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…