Kanisani sio eneo la kutolea hotuba za kisiasa, kibaya zaidi hotuba yenyewe imejaa data za upotoshaji.
Ni kweli mkuu tafuta tuu, Kati ya hotuba zake mwl. Alishawahi Hadi kuhoji uwepo wa mungu, akisema maana haonekani, hanusiki Wala hasikikiHilo neno Nyerere alilisemea wapi na lini? tuwekee ushahidi mwongo mkubwa wewe unasingizia hadi marehemu
..Raisi hapaswi kufanyia shughuli za kiserikali Kanisani, Msikitini, au Hekaluni.
.
ivi unadhan mahubiri kanisan yankuaga nn kama sio mifano ya jinsi dunia ilivo saaahv: infact hata lirtugia yenyewe vipengele vya kuombea serikali kuanzia raisi mpaka wasaidizi wake ipo, afterall mahubiri lazima tuongelee siasa za nchi yetu na maombi pia hua yanainclude serikali,

kanisan mnaruhusiwa kufanya mpaka maigizo, kutambulisha nyimbo! mnafunga mpaka ndoa na mnaambiwa kabisa you may now kiss the bride, na tunafanya mpaka minada na pesa zinatolewa apo apo so whats your point
..Asante sana.
..hiyo inazidi kusisitiza hoja yangu kwamba Raisi hapaswi kufanya shughuli za kiserikali toka makanisani.
Kibwetwere hawakuteketeza wajinga, bali aliteketeza werevu kama ww, ila wafuata mkumbo.
..wakati wa vita vya Kagera Mwalimu Nyerere hakuwahi kuhutubia toka Kanisani au nyumba yoyote ya ibada.
..pia hakutukumuona Mwalimu Nyerere akigawa mabulungutu ya pesa wakati wa vita yoyote ile.
kwaio cdm magufuli kuhutubia taifa kanisan ndo imekua sera yenu wiki hii? mbna bado hajaenda BAKWATA, subirini mpate mada ingine wiki hii
..na anatumia nyumba za ibada kusema UONGO.
Barakoa hazisaidii kuzuia koronauongo gan kasema?
Barakoa hazisaidii kuzuia korona
Aliwapima Korona?amesema, si mnaona hamjavaa barakoa na hamjpata corona, why are you twisting words
kwaio cdm magufuli kuhutubia taifa kanisan ndo imekua sera yenu wiki hii? mbna bado hajaenda BAKWATA, subirini mpate mada ingine wiki hii
Aliwapima Korona?
Hapa ni kwenye mtandao wa kijamii na wala sio ofisi ya cdm, kama unataka kupata maoni ya cdm nenda ofisini kwao dogo.