Kutumia dini kama kichaka cha kukwepa wajibu hakutotusaidia

Kutumia dini kama kichaka cha kukwepa wajibu hakutotusaidia

Hawa Viongozi wanaojifanya kukimbilia Makanisani na Mabulungutu ya fedha mchana

Usiku unawakuta wakigawa mabulungutu kwa waganga wa kienyeji huku wakitoa shukurani zao za dhati kwa kupigwa chale
...😂😂😂...Duh!..
 
Hakuna Padri au Askofu tajiri wa kupindukia kama akina mzee wa upako siju Gwajima
unachangany sana kanisa katolilki kuna makundi mawili katika kanisa katoliki kuna lile la waapa viapo vya umaskini maisha yao yote lakini kuna ambao hawaapi hivyo viapo hawa wasiokula hicvo viapo ni matajiri wa kufa mtu
 
Dini kwa Tanzania na sehemu kubwa ya afrika ni sehemu ya kimbilio la waliokata tamaa na waliolemewa na mizigo!!

Ni huku Tanzania unakuta mambo ya mafuta, kuombea kupata kazi, kupata mume (so kupata mke), kupata uchumi mzuri na kadhalika. Kuamini katika miujiza ya kidini.

Imani hii imezifanya viongozi wa serikali kuhusisha dini katika kuwatuliza watu na “heshimu mamlaka kwa sababu imewekwa na Mungu” huku kulikuwa na wizi wa kura, mauaji ktk mchakoto!!

Dini imeanza kutumika kupacify watu kama ilivokuwa in medieval times!! Zamani hizo wanasayansi waliuawa kwa kwenda kinyume na mafundisho ya dini. Creation vs Evolution!! Earth vs Universe.

Dini inatumika vibaya!!!
 
unachangany sana kanisa katolilki kuna makundi mawili katika kanisa katoliki kuna lile la waapa viapo vya umaskini maisha yao yote lakini kuna ambao hawaapi hivyo viapo hawa wasiokula hicvo viapo ni matajiri wa kufa mtu
Wanatumia magari ya kanisa hawana V8 nyingi kama akina Gwajima
 
Wanatumia magari ya kanisa hawana V8 nyingi kama akina Gwajima
Kwani za Gwajima zimandikwa kwa jina lake alishajibu hill.mbona ni Mali za kanisa hata ndege anayomiliki imeandikwa kanisa la ufufuo na uzima mtume na nabii Mwingira ndege take anayotumia imeandikwa jina la kanisa Efatha
 
Wanatumia magari ya kanisa hawana V8 nyingi kama akina Gwajima
Mipesa wanayo kibao sana ona mfano mdogo mashule tu yanawaingizia mabilioni kama mapadri wanahonga masista hawanunui maprado hayo yao
Mapadri wengi walevi Gwajima hanywi pombe hivyo pesa yakr haiishii kwenye pombe
 
Kwani za Gwajima zimandikwa kwa jina lake alishajibu hill.mbona ni Mali za kanisa hata ndege anayomiliki imeandikwa kanisa la ufufuo na uzima mtume na nabii Mwingira ndege take anayotumia imeandikwa jina la kanisa Efatha
Hiyo ni kanisa au ni kikundi cha wajasiriamali? kanisa halina hata katiba yeye ndiyo kila kitu(Mhasibu, Katibu Mkuu n.k)
 
Mipesa wanayo kibao sana ona mfano mdogo mashule tu yanawaingizia mabilioni kama mapadri wanahonga masista hawanunui maprado hayo yao
Mapadri wengi walevi Gwajima hanywi pombe hivyo pesa yakr haiishii kwenye pombe
RC ni taasisi ina wakaguzi wa ndani na nje, umewahi kusikia Padri amepiga hela ya kanisa? hawa watu nimefanya kazi kwao nawajua vzr tunaoiba ni sisi watu wa nje wala hakuna padri anakuwepo kwenye kamati.
 
Father privatus karugendo dayodis ya rulenge alikwapua akafukuzwa na upafri kwa wizi na Askofu Niwemugizi

Sista mhasibu mkuu hospital ya Bugando alijirusha na kufa ilipogundulika kakwapua mamilioni
 
Father privatus katugendo dayodis ya rulenge alikwapua akafukuzwa na upafri kwa wizi nacAdkifu Niwemugizi

Sista mhasibu mkui hospital ya Bugando alijirusha na kufa ilipogiundulika kakwapua mamilioni
Safi hata serikalini wanafukuzwa, Gwajima, Anthony watafukuzwa na nani wao wana miliki makanisa?
 
Loh, loh, loh ingekuwa kelele nchi nzima, humu JF watu wangeponda sana.

Kuna vitu humu nchini Christians wanaweza kufanya na wakago away easily bila lawama, lakini if the same thing ingefanywa na muislamu inakuwa nongwa isiyosemekana.

Just Imagine rais angekuwa Muislam kisha aseme "Allah ataondoa Korona msitegemee vitambaa hivi (barakoa)" kisha uje uone shughuli au response yake

Mfano mwingine ni rahisi nchini kiongozi wa Kikristo kutoa hotuba ya kisiasa na kuanza kunukuu biblia kama Zaburi etc mara nyinginyingi tu katika hotuba yake, but Muislamu akitoa hotuba akinukuu quran basi hulazimika kunukuuu kidogo na siyo mara kwa mara na pia at the same time inabidi anukuu na biblia in the same set up ili kubalance la sivyo watu huanza kumuona kama analeta udini hivi.
Raisi amepaniki Jana illibidi atafute platform ya kum preempt mbowe ambaye tangu juzi alitangaza kuhutubia taifa.

An adhani. Amewin game kumbe anapoteza pakubwa

Amempiga vijembe askofu wa catholic aliyefungia makanisa kushiriki ibaada ili kulinda waumini. Akamsifia shoo, huu ni ufitini na ulaghai

Amesema hakuna ulazima wa kuvaa barakoa
Wakati wizara ya afya na WHO bado wanasisitiza tahadhali dhidi ya covid ni kuvaa barakoa na kunawa mikono

Amewapiga vijembe maraisi wenzie wa nchi jirani, kwa. Kujifungia kama vile wametenda dhhambi, hakuwa na ulazima wa kuwasema, kama anazingatia diplomasia
 
Mkuu nimeipenda sana hii thread yako mana ni ukweli.mtupu Magu ni mnafiki sana wakat watu tunajua kuchwaa yuko na waganga wa kienjeji.Msanii aliepitiliza kabisa.
Atawapata wajinga wachache wengi tushamuelewa kwamba ni msanii
 
Masuala ya kitaifa yanayohusu watu wa imani mbali mbali si vyema yakazungumziwa kwenye nyumba za ibada na mkuu wa nchi. Kama haya mambo yangelikuwa yamefanywa na mtangulizi wake, mabaraza ya maaskofu yangelikuwa yameshatoa tamko (turejee matamko yaliyotolewa wakati wa mzee ruksa na JK). Viongozi wa dini zote ni wachungaji wa kondoo wa aina zote, hivyo mambo yanoyoweza kuangamiza kondoo ni lazima wayakemee bila kujali yanafanywa na nani.
 
who can you put their names here? have you done a research on all people in the world to prove your conclusion?

mpambavu wa takwimu wewe sema some dont say anybody!!! when yo say some it includes you but if you say nobody it includes all bodied beings including americans,europeans,all africans,Asiasians ,cows,goats,pigs because all have bodies according to bioloogy subject!!! so goats and pigs know how to read and write ? so they know the difference between capital letter and small letter mjinga mkubwa wewe
We utakuwa demu mwenye frustrations, mbona unawaka sana kwa issue za kawaida
 
Back
Top Bottom