Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
sasa si bora ufuate mkumbo lakini mkumbo mzuri
Unapimaje kuwa ni mkumbo mzuri?
sasa si bora ufuate mkumbo lakini mkumbo mzuri
uongo gan kasema?
..kwamba kuna-booking za watalii kuja Tanzania.
..ule ni uongo wa wazi kabisa.
Unapimaje kuwa ni mkumbo mzuri?
tupe ushahidi wako kama ni uongo! huna evidence tuliza mdomo huo maaana nyie wazee wa ruzuku hamueleweki, mwanachama wenu leo alikua analia bungeni anataman sana kuhamia ccm
Duh, halafu unalipwa kwa uandishi huu, kodi yangu inateketea hivi hivi.who can you put their names here? have you done a research on all people in the world to prove your conclusion?
mpambavu wa takwimu wewe sema some dont say anybody!!! when yo say some it includes you but if you say nobody it includes all bodied beings including americans,europeans,all africans,Asiasians ,cows,goats,pigs because all have bodies according to bioloogy subject!!! so goats and pigs know how to read and write ? so they know the difference between capital letter and small letter mjinga mkubwa wewe
Kanisa ni lake binafsi na mali ni zake binafsi, ila jina la kampuni ni Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)Kwani za Gwajima zimandikwa kwa jina lake alishajibu hill.mbona ni Mali za kanisa hata ndege anayomiliki imeandikwa kanisa la ufufuo na uzima mtume na nabii Mwingira ndege take anayotumia imeandikwa jina la kanisa Efatha
Lakini watu wa Saccos ni watu wa Mungu kama wakivyo wafadhili wake kama wale majambawasi ambao ni walokole n.kMagufuli talks about God but he doesn't live in God spirit at all.
Kwanza hatendi haki katika nchi, haheshimu kiapo chake cha kulinda na kutetea katiba maana anaivunjavunja kila anapojisikia.
Sasa akija kipindi hiki cha Korona na kujifanya mcha Mungu tunajua tu kuwa anataka kulitumia jina la Mungu kisiasa, hana dhati wala kweli yoyote moyoni wala fikra zake
Sisi hatudanganyiki hata kidogo
Lakini watu wa Saccos ni watu wa Mungu kama wakivyo wafadhili wake kama wale majambawasi ambao ni walokole n.k
Na sasa hivi tu nasubiri ushindi wa Saccos, ili majambawasi warudi kazini
uongo mwehu wewe hata hujui usajili wa makanisa kanisa sio kampuni unayoweza sajili kwa jina la mkeo au hawara yakoKanisa ni lake binafsi na mali ni zake binafsi, ila jina la kampuni ni Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nimesoma mwenyekiti wangu magufuli ana phd katibu mkuu wa CCM ANA PHD SIONGOZWI NA WAJINGA WA CHADEMA ambao mwenyekiti wa chadema ni form six division zero mbowe na katibu mkuu wa chadema ni form four mnyikaDuh, halafu unalipwa kwa uandishi huu, kodi yangu inateketea hivi hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mleta mada aweke si ndio alisema nyerere alisema? hiyo homework sifanyi yeye ndio aweke aliyeleta madaNi kweli mkuu tafuta tuu, Kati ya hotuba zake mwl. Alishawahi Hadi kuhoji uwepo wa mungu, akisema maana haonekani, hanusiki Wala hasikiki