Dini zipi tena?Kwani leo kuna nini humu Jf? Mbona dini zinapigwa spana sana kila kona?
Nakuheshimu sana mkuu lakini waliosulibiwa kwenye msalaba siyo Yesu peke yake. Maelfu walinyongwa kwa njia hiyo kwa hiyo hiyo siyo alama ya Yesu KristoKwa hiyo ulitaka watumie ishara gani? Huoni ni kupitia huo msalaba Wakristo wengi ndiyo wametambua Masiya wao aliteswa na kuuwawa kikatili juu ya huo msalaba?
Na wale majambazi na wauaji na wahaini waliotundikwa kwenye misalaba ya wakoloni wa Kirumi je??Kwa uelewa wangu msalaba huwa unatumika kama ukumbusho wa Yesu kufa msalabani,Sioni ww una tatizo gani hapo?
Yesu hakuwa wa kwanza kusulibiwa. Soma hata secular history tu. Ilikuwa adhabu ya wakoloni Warumi for anyone who messes with the authority. Ukileta za kuleta unatundikwa msalabani mahali ambapo watu wengi wanapita ili wakiona suluba unayopata wasijaribu kucheza na mkoloniKwa uelewa wangu msalaba huwa unatumika kama ukumbusho wa Yesu kufa msalabani,Sioni ww una tatizo gani hapo?
Kanisa lilianza kutumia msalaba kama alama yake, miaka mia nne baada ya yesu kuondokaKwa hiyo ulitaka watumie ishara gani? Huoni ni kupitia huo msalaba Wakristo wengi ndiyo wametambua Masiya wao aliteswa na kuuwawa kikatili juu ya huo msalaba?
Sijasema hakiruhusiwi kutumia. Nimesema msalaba haumuwakilishi Yesu Kristo. Ni zana ya kunyogea wahalifuKwahiyo kilawalichotumia warumi wakristo hawafai kutumia?
Mbona sisi tuna tamaduni nyingi za kiarabu lakini zinaingiliana na uislam
Hakuna utamaduni wa kiarabu unaoingiliana na uislamKwahiyo kilawalichotumia warumi wakristo hawafai kutumia?
Mbona sisi tuna tamaduni nyingi za kiarabu lakini zinaingiliana na uislam
Angalau wewe una uelewa wa historia ya ukristo. AsanteKanisa lilianza kutumia msalaba kama alama yake, miaka mia nne baada ya yesu kuondoka
Ukiangalia documentary ya Jesus:his life,utagundua mengi, ilikua pure politics,wakitupiana mipira mtawala wa galilaya na huyo aliyemsulubu,niliiona channel ya history, DStvYesu hakuwa wa kwanza kusulibiwa. Soma hata secular history tu. Ilikuwa adhabu ya wakoloni Warumi for anyone who messes with the authority. Ukileta za kuleta unatundikwa msalabani mahali ambapo watu wengi wanapita ili wakiona suluba unayopata wasijaribu kucheza na mkoloni
Halafu wanadanganya watu na kujidanganya wenyewe ukiutishia uchawi/jini msalaba basi uchawi/jini unaondokaNa wale majambazi na wauaji na wahaini waliotundikwa kwenye misalaba ya wakoloni wa Kirumi je??
Imani ni kitu huru sana. Ukiona watu ulionao wanaenda tofauti na unavyowaza, hauna haja ya kuwasumbua watu kuwalazimisha wakusikilize, ni kiasi tu cha wewe kujitoa hapo na wewe uanzishe dhehebu lako, ukalisajili serikaliniMsalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani???
Na ukumbuke pia siyo madhehebu yote ya kikristo wala secular history inakubaliana na structure ya huo msalaba. Wengine huamini it it was a single straight pole. Yaani nguzo moja tu iliyonyooka. Inawezekana ile ya Yesu ilikuwa na kipande cha begani au ile aliyoichukua mabegani akitoka pale kwa Pilato ndiyo hiyo tu maaskari walimpigilia humo. Miti ni kitu adimu kule Israeli na kutumia miti mingi kuua wahalifu ni jambo lisilofikirika!Kwahiyo kilawalichotumia warumi wakristo hawafai kutumia?
Mbona sisi tuna tamaduni nyingi za kiarabu lakini zinaingiliana na uislam