Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

Yah Yesu angepigwa kwa jambia ndio ingekuwa alqma ya ukristo msalaba ni njianyaukombozi, sawasawa wewe unafanya biashara ya viazi halafu unaona haya kuweka picha ya viazi kwenye nbo yako. Msalaba ni Alana sahihi kabisa ya ukristo
 
Ulitaka Tutumie Mvinyo+Kitimoto Kama ishara Ya Ukristo Wetu.
 
Ukiangalia documentary ya Jesus:his life,utagundua mengi, ilikua pure politics,wakitupiana mipira mtawala wa galilaya na huyo aliyemsulubu,niliiona channel ya history, DStv
Yesu aliuwa Kisiasa Watawala Wa Kirumi Wakiogopa Asijenyakua Madaraka Yao Kutokana Kuwa Na Ushawishi Na Wafuasi Wengi Na Ndio Maana Walipindisha Sheria Ili Auwawe Yeye Badala Ya Yule Mfungwa Aliestahili Hukumu Ile.
 
Yule mtawala aliyemuhukumu alikua ni kama gavana, mamlaka kuu ikiwa Roma,sasa yesu hakua na hatia,katika kutaka kukwepa msala (revolt toka wafuasi wa yesu),akaona kwa kuwa huyu mgalilaya ngoja nimrushie msala mtawala wa galilaya,wa galilaya akachomoa,huku viongozi wa kiyahudi wakimwambia usipomhukumu tunakusema kwa mtawala mkuu, Roma,jamaa alikua na discussion ndefu sana na yesu usiku kwenye kasri,akimtega yesu kwa maswali Ili aingie hatiani,ndiyo yale majibu 'we wasema'.
 
Msalaba ni zana ya kunyongea wahalifu ya utawala wa Warumi (weapon of execution) kama ilivyo kamba ya kunyogea, kiti cha umeme, sindano ya sumu au jambia la kuchinjia. Kama Yesu angechinjwa kwa jambia je tungekuwa tunaweka alama ya ya upanga/jambia juu ya jengo la kanisa au kuivaa kifuani???
Low maturity brought by Low mindset.
 
Mkuu nimeongelelea imani ya kikristo. Theolojia (Tauhid) yetu ni tofauti kabisa na hizo imani zingine ila kwa suala hili ndio maana niewaalika maaskofu,mapadri, wachungaji, maprofesa wa Theology tulijadili

Wewe una yako agenda ya siri, uwe wazi
 
Kwa akili ya kawaida tu huwezi kumning’iniza shingoni akiwa uchi unayemuheshimu,chukuliani mfano baba yako mzazi unaweza mvaashingoni akiwa uchi!!!.
Kile kitambaa kinachoonekana kwenye picha zake au sanamu ni usanii tu. Wahalifu wote enzi zile walikuwa wakisulibiwa uchi. Ilitakiwa kuwa adhabu ya fedheha ili usicheze na mkoloni. Yesu alisulibiwa uchi kabisa hakuwa na chupi wala kitambaa chochote.
 
Ndio, kama Yesu angeuwawa kwa bunduki tungeweka bunduki kuwa ishara ya Kanisa au Ukristo! Yesu mwenyewe anasema hakuja kwa ajili ya wenye afya, amekuja kwa ajili ya wagonjwa ili wapate afya. Yesu na Ukristo ni mwanamapinduzi. Kuna vitu vingi sana mwanzoni vilikuwa ishara ya mabaya lakini Yesu amekuja na kuvibadilisha kuwa ishara ya wema. Na hakuna ushindi kama kutumia kilichokuwa kinatumiwa kwa uovu na sasa kuwa ndio zana ya kutendea mema! Hiyo ndio inammaliza kabisa shetani. Msalaba ni mojawapo tu ya mifano hiyo, ipo mingi.
Nimeuliza msalaba una umbile gani? Mtume Paulo alipoongelea habari za msalaba alimaanisha lile gogo la kunyogea watu???? Mbona akili zetu wakristo kama zina kasoro?? Tuna doctoral degrees za Theology sijui hata ni nini tulichosoma huko!
 
Yah Yesu angepigwa kwa jambia ndio ingekuwa alqma ya ukristo msalaba ni njianyaukombozi, sawasawa wewe unafanya biashara ya viazi halafu unaona haya kuweka picha ya viazi kwenye nbo yako. Msalaba ni Alana sahihi kabisa ya ukristo
Kwa hiyo wote walionyongwa kwa msalaba nao wamo??
 
Nakuheshimu sana mkuu lakini waliosulibiwa kwenye msalaba siyo Yesu peke yake. Maelfu walinyongwa kwa njia hiyo kwa hiyo hiyo siyo alama ya Yesu Kristo
hao wengine hawakukomboa mtu. Yesu Kristo (Masihi) kifo chake cha MSALABA kiliambatana na ukombozi na wokovu wa wanadamu (Mimi mmojawao)
 
Ishara ya msalaba ktk makanisa ni ishara ya ukombozi, ukombozi wetu tuliupatia pale msalabani.

Biblia inasema neno msalaba kwa wanaopotea ni upuuzi bali kwetu tuliokombolewa ni ushindi/ukombozi.
 
Nimeuliza msalaba una umbile gani? Mtume Paulo alipoongelea habari za msalaba alimaanisha lile gogo la kunyogea watu???? Mbona akili zetu wakristo kama zina kasoro?? Tuna doctoral degrees za Theology sijui hata ni nini tulichosoma huko!
Kulikuwa na style nyingi za kugongea watu msalabani, wengine waliwekwa kwenye miti miwili iliyopishana au ku-cross each other, ndio msalaba huo wa Yesu na wengine kwenye mti mmoja na mikono yao kuchanganywa pamoja kwa misumari. Lakini mapokeo yanaonesha Yesu alitundikwa kwenye cross. Na mtu alikuwa akibebeshwa kipande cha msalaba hadi Calvari anakwenda kukuta ule mti mkubwa uliokwisha simikwa na kuunganishwa pale na kuwa kama msalaba. Kwa hiyo Mtume Paulo alizungumzia hayo moja ya hayo.
 
Umejibu vizuri na umeonyesha uelewa mzuri. Naomba nukuu ya hayo mapokeo uliyoyataja. I am very open and ready to be corrected. Tupo hapa kuelimishana.
 
Umejibu vizuri na umeonyesha uelewa mzuri. Naomba nukuu ya hayo mapokeo uliyoyataja. I am very open and ready to be corrected. Tupo hapa kuelimishana.
Sasa ndio linakuja suala la kutokuelewa mamba kwa wakristo wengi wanaofikiri kuwa ukweli wa kikristo ni ule tu ulioandikwa kwenye Biblia. Hata Biblia yenyewe inasema yote aliyoyatenda Yesu yangeandikwa, ulimwengu huu usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu hivyo. Kumbe tunayojajua na yaliyoandikwa na tone tu ndani ya bahari.

Kuna vitabu vingi tu vya kidini na vingine vya kidunia vinaeleza mambo mengi ya Yesu ambayo yanathibitishwa na Biblia na mengine sio. Usisahau pia kwamba hata Biblia ni mapokeo kwa njia ya maandishi. Yapo mapokeo mengi sana ya kimaandishi pia yanaonesha uhalisia mzuri zaidi kuliko Biblia ya namba misalaba ya Warumi ilivyokuwa.

Crucifixion methods varied depending on the purpose: sudden death, death or just torture. The angle of the hands by the head or over the head, in combination with the position of the body, had exactly to do with the purpose of the punishment. It is a gross mistake to make uncritical generalizations. Mtume Peter mwenyewe alisulubiwa kwenye msalaba ulibinuliwa kichwa chini miguu juu. Sio kila msalaba ulikuwa kwa lengo la kumuua msulubiwa, Sio kila msulubiwa alifungwa kwa misumari, wengine ilikuwa kamba tu. kulingana na adhabu iliyokusudiwa.

Kulikuwa na staili nyingi mno za misalaba kama unavyoona hapa:
TypeDescriptionShape
Crux SimplexA simple upright stake without a crossbeam. Victims were tied or nailed directly to the vertical post.
Crux Commissa (T)A T-shaped cross where the horizontal beam (patibulum) was attached at the top of the vertical post.T
Crux Immissa (†)The traditional Christian cross with a horizontal beam placed below the top of the vertical post.
Crux Decussata (X)An X-shaped cross, also known as Saint Andrew’s Cross, where victims were tied or nailed to two intersecting beams.X
Impaling StakeA single upright stake used for impalement or tying victims in various positions, as described by Roman historian Seneca.Vertical stake
 
Kuna shida ya ufahamu. Mimi ni mkristo lakini nikiona mahali pamepotoka lazima tuwekane sawa. I am not a conservative Christian!
Original version za Bible zinaonyesha Yesu aliubeba mti wa mateso ambao ulikuwa nguzo moja tu. Ilikuwa ngumu kutumia mbao nzuri iliyochongwa kwa ustadi ili kumpa adhabu mharifu.

Inafikirisha kuvaa kisu kilichomuua ndugu yako umpendaye kama alama ya kumkumbuka.
 
Shukrani!
 
Back
Top Bottom