Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

Hii elimu yenu mnayofundishwa shule definitions za lugha
Samahani hapa umemaanisha nini?? Unaweza kujifunza kitu bila kukielezea kwanza?? Unahisi elimu yoyote ile haina hiki kitu 'maelezo'??
 
Samahani hapa umemaanisha nini?? Unaweza kujifunza kitu bila kukielezea kwanza?? Unahisi elimu yoyote ile haina hiki kitu 'maelezo'??
Umeelewa sasa kwamba uislam ni utamaduni unaojitegemea tofauti na utamaduni wa kiarabu ambao muhammad aliwahubiria waarabu waachane nao?...
 
Naomba utupe upotoshaji wake kwa ushahidi wa kimantiki ,kisha tupe ushahidi wa kimantiki kuhusu hiyo elimu yako kuwa ni sahihi zaidi.
Kiswahili kule mnaambiwa wanyama hawana lugha kisa nini?..wanyama wenyewe mbona huelewana wakizungumza?..
 
Yani wenye dini yao wameamua hivo wewe unaanza complaining
 
Umeelewa sasa kwamba uislam ni utamaduni
Nimeamua kukuacha coz unapenda ubishani.
tofauti na utamaduni wa kiarabu ambao muhammad aliwahubiria waarabu waachane nao?...
Nitajie baadhi ya tamaduni za kiarabu ambazo mtume aliziacha.

Kwani kila kitu katika utamaduni kinafaa?? Hujui kuwa utamaduni hubadilika?? Unaelewa maana ya ustaarabu??
 
Nimeamua kukuacha coz unapenda ubishani.

Nitajie baadhi ya tamaduni za kiarabu ambazo mtume aliziacha.

Kwani kila kitu katika utamaduni kinafaa?? Hujui kuwa utamaduni hubadilika?? Unaelewa maana ya ustaarabu??
Najua umeelewa ila for the sake of debating.. karibu futari
 
Kwa uelewa wangu mdogo. Msalaba uko na pembe nne zote zikiwa zimebeba maana ndani yake.

Kuna uelekeo wa kichwa ukiwakilisha uhusiano wa mtu na Muumba wake,
Uelekeo wa miguu ukiwakilisha uhusiano wa mwanadamu na ardhi/unyama wake.
Uhusiano wa pande mbili za mikono ukiwakilisha mema na mabaya ambapo hata kwa mujibu wa biblia pale msalabani Yesu alisurubiwa katikati ya watu wawili na yule wa upande mmoja alimkubali na wa upande mwingine alimkashifu. Lakini yule aliyemkashifu Yesu hakumjibu kitu. Unafikiri ni kwanini hakumjibu ni kwa sababu kati ya mema na mabaya kuna mtu. Na alitambua katika mema kuna mabaya na katika mabaya kuna mema LAKINI hawa wote walichokikosa ni uzima na ndio aliouleta.

Inaweza kuwa ilikuwa ni tamaduni za warumi kutesa wahalifu kwa staili ile lakini haikuwa bahati mbaya kwa Yesu kuwekwa msalabani.
Warumi waliobuni hiyo adhabu ya kifo cha msalaba walikuwa na maana unayoieleza.??That is wishful thinking ya mawazo ya theolojia ya kipumbavu kabisa ambayo haina uhusiano wowote na mungu wa kweli. It is a trial to philosophieze unreal things . Ujinga tu wala Mungu hayuko kwenye ujinga huo. It is a product of human imagination wala hakuna cha maana hapo.
 
Tatizo hutaki kuelewa,ikiwa uislam unaelekeza jinsi ya kuishi na kufanya ibada,huo ni mfumo wa maisha,kama mfumo wa maisha si utamaduni,hilo siyo tatizo langu,kama mfumo wa maisha ni utamaduni basi uislam siyo utamaduni wa kiarabu sababu hayo maelekezo ya kwenye Quran walielekezwa kwanza waarabu ambao walikua na utamaduni wao kabla ya muhammad kuhubiri uislam

Hii elimu yenu mnayofundishwa shule definitions za lugha, kwamba wanyama hawana lugha kisa hawana sijui konsonanti,irabu,nomino sijui vitu gani,inawapotosha
Hakuna mnyama asiye na lugha. Zingine ni ultrasound sisi binadamu hatuwezi kuzisikia maana masikio yetu yana range ya frequency ya sauti ikiwa nje ya range hiyo huwezi kusikia chochote.
 
Hakuna mnyama asiye na lugha. Zingine ni ultrasound sisi binadamu hatuwezi kuzisikia maana masikio yetu yana range ya frequency ya sauti ikiwa nje ya range hiyo huwezi kusikia chochote.
Kwenye kiswahili a level wanafundishwa wanyama hawana lugha
 
We watu wanamuita binadamu mungu, na Mama yake wanamuita mama wa mungu hao watu akili watatoa wapi
Hawana akili kabisa kama wale wazunguka jiwe jeusi bila kuvaa nguo za ndani
 
Kile kitambaa kinachoonekana kwenye picha zake au sanamu ni usanii tu. Wahalifu wote enzi zile walikuwa wakisulibiwa uchi. Ilitakiwa kuwa adhabu ya fedheha ili usicheze na mkoloni. Yesu alisulibiwa uchi kabisa hakuwa na chupi wala kitambaa chochote.
Lete ushahidi ustadh shaban
 
x.jpg
 
Yesu hakuwa wa kwanza kusulibiwa. Soma hata secular history tu. Ilikuwa adhabu ya wakoloni Warumi for anyone who messes with the authority. Ukileta za kuleta unatundikwa msalabani mahali ambapo watu wengi wanapita ili wakiona suluba unayopata wasijaribu kucheza na mkoloni
Katika mpira watu wanahesabu magoli kama magoli lakini Kuna goli Bora
 
YESU hajui kama kuna kanisa wala ukristu..Karne nne baada ya yeye kufa ndio warumi kwa ushawishi wa wale wale waliomtesa Yesu yaani Wayahudi ndio wakaangiza alama ya msalaba kwenye hio dini mpya
 
Back
Top Bottom