Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

Hii elimu yenu mnayofundishwa shule definitions za lugha
Samahani hapa umemaanisha nini?? Unaweza kujifunza kitu bila kukielezea kwanza?? Unahisi elimu yoyote ile haina hiki kitu 'maelezo'??
 
Samahani hapa umemaanisha nini?? Unaweza kujifunza kitu bila kukielezea kwanza?? Unahisi elimu yoyote ile haina hiki kitu 'maelezo'??
Umeelewa sasa kwamba uislam ni utamaduni unaojitegemea tofauti na utamaduni wa kiarabu ambao muhammad aliwahubiria waarabu waachane nao?...
 
Naomba utupe upotoshaji wake kwa ushahidi wa kimantiki ,kisha tupe ushahidi wa kimantiki kuhusu hiyo elimu yako kuwa ni sahihi zaidi.
Kiswahili kule mnaambiwa wanyama hawana lugha kisa nini?..wanyama wenyewe mbona huelewana wakizungumza?..
 
Yani wenye dini yao wameamua hivo wewe unaanza complaining
 
Umeelewa sasa kwamba uislam ni utamaduni
Nimeamua kukuacha coz unapenda ubishani.
tofauti na utamaduni wa kiarabu ambao muhammad aliwahubiria waarabu waachane nao?...
Nitajie baadhi ya tamaduni za kiarabu ambazo mtume aliziacha.

Kwani kila kitu katika utamaduni kinafaa?? Hujui kuwa utamaduni hubadilika?? Unaelewa maana ya ustaarabu??
 
Nimeamua kukuacha coz unapenda ubishani.

Nitajie baadhi ya tamaduni za kiarabu ambazo mtume aliziacha.

Kwani kila kitu katika utamaduni kinafaa?? Hujui kuwa utamaduni hubadilika?? Unaelewa maana ya ustaarabu??
Najua umeelewa ila for the sake of debating.. karibu futari
 
Warumi waliobuni hiyo adhabu ya kifo cha msalaba walikuwa na maana unayoieleza.??That is wishful thinking ya mawazo ya theolojia ya kipumbavu kabisa ambayo haina uhusiano wowote na mungu wa kweli. It is a trial to philosophieze unreal things . Ujinga tu wala Mungu hayuko kwenye ujinga huo. It is a product of human imagination wala hakuna cha maana hapo.
 
Hakuna mnyama asiye na lugha. Zingine ni ultrasound sisi binadamu hatuwezi kuzisikia maana masikio yetu yana range ya frequency ya sauti ikiwa nje ya range hiyo huwezi kusikia chochote.
 
Hakuna mnyama asiye na lugha. Zingine ni ultrasound sisi binadamu hatuwezi kuzisikia maana masikio yetu yana range ya frequency ya sauti ikiwa nje ya range hiyo huwezi kusikia chochote.
Kwenye kiswahili a level wanafundishwa wanyama hawana lugha
 
We watu wanamuita binadamu mungu, na Mama yake wanamuita mama wa mungu hao watu akili watatoa wapi
Hawana akili kabisa kama wale wazunguka jiwe jeusi bila kuvaa nguo za ndani
 
Kile kitambaa kinachoonekana kwenye picha zake au sanamu ni usanii tu. Wahalifu wote enzi zile walikuwa wakisulibiwa uchi. Ilitakiwa kuwa adhabu ya fedheha ili usicheze na mkoloni. Yesu alisulibiwa uchi kabisa hakuwa na chupi wala kitambaa chochote.
Lete ushahidi ustadh shaban
 
Katika mpira watu wanahesabu magoli kama magoli lakini Kuna goli Bora
 
YESU hajui kama kuna kanisa wala ukristu..Karne nne baada ya yeye kufa ndio warumi kwa ushawishi wa wale wale waliomtesa Yesu yaani Wayahudi ndio wakaangiza alama ya msalaba kwenye hio dini mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…