makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Baba yako akikuambia nyumbani kwangu kurudi mwisho saa 12, wakati wewe unakaa nje mpaka saa 2 usiku na hakuna baya linalokutokea, je utakaidi.N
Nimeishi na mbwa miaka zaidi ya 10 na walikuwa wananirukia wananilamba lamba sijawahi vunjika hada kidole cha mguu. Paka ndio usiseme hizi sheria zingine muwe mna update tusitiane tabu tu.
Mama anakwambia mtoto wa fulani au kundi fulani sitaki nikuone nalo, wahuni na wavuta bangi, we unakaa nao miaka nenda miaka rudi hata bangi hujawahi shika, we ni stori tu, huna faida nalo, Je utakaidi?