Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

N
Nimeishi na mbwa miaka zaidi ya 10 na walikuwa wananirukia wananilamba lamba sijawahi vunjika hada kidole cha mguu. Paka ndio usiseme hizi sheria zingine muwe mna update tusitiane tabu tu.
Baba yako akikuambia nyumbani kwangu kurudi mwisho saa 12, wakati wewe unakaa nje mpaka saa 2 usiku na hakuna baya linalokutokea, je utakaidi.
Mama anakwambia mtoto wa fulani au kundi fulani sitaki nikuone nalo, wahuni na wavuta bangi, we unakaa nao miaka nenda miaka rudi hata bangi hujawahi shika, we ni stori tu, huna faida nalo, Je utakaidi?
 
Hayo yote naskiliza ila hilo la mzee ndio lilinifanya nikaanza kujitegemea 🀣🀣🀣 mi huwa kurudi saa 5 ni kawaida.
 
Kwani umeambiwa muislam haruhisiwi mbwa, tambua Qur-an ni muongozo wa wanadamu na haifanyiwa marekebisho kutokana na matamanio ya mwanadamu
 
Kijana jitulize ww una uungwana upi zaidi ya kutukana watu humu? Mimi nimetoa hoja sitoi dharau wala kebehi


Nyie msoamini hadithi lazima mupigwe raddi mpka mkaongelee mambo yenu ndani ya majumba yenu na sio hadharani
 
Kijana jitulize ww una uungwana upi zaidi ya kutukana watu humu? Mimi nimetoa hoja sitoi dharau wala kebehi


Nyie msoamini hadithi lazima mupigwe raddi mpka mkaongelee mambo yenu ndani ya majumba yenu na sio hadharani
Allah sw akujaalie busara,hikma na elimu inshaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…