Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Wanashindwa ku address matatizo ya watanzania, mf, tozo kwenye account zetu za bank no, wanatoa matamko ya kijinga tu.
Note.
Ujinga sio tusi.
 
Tunaongozwa na viongozi vilaza kinoma noma. Watu wanatarajia wamewaweka watu wa kutatua changamoto za maji, umeme, ajira, mifumo mizuri ya kujiajiari alafu kiongoz mkubwa anatokea na kusema u$*enge kama huo.

Kwanin mawazo yenye tija wameyakalia tu mat*koni alafu wanaropoka visivyo na tija kwa mlalahoi..

We need good policy.
 
Back
Top Bottom