Chungchung changchang
Member
- Oct 15, 2021
- 64
- 80
Gaidi au si gaidi...Kwa sasa tuna mjadala gani wa kitaifa bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaidi au si gaidi...Kwa sasa tuna mjadala gani wa kitaifa bwashee?!
Ana macho kama bundiAkakojowe akalale Pro PESA
Wewe ungekuwa na shule ya maana ungekubali kutumika kimalaya hivi?Watu ambao hamkwenda shule hupenda sana kujiliwaza.
Pole sana. Ila jitahidi sana wanao waende shule. Hawatakuwa na stress kama wewe.Wewe ungekuwa na shule ya maana ungekubali kutumika kimalaya hivi?
Hahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahaha
Vijana wa Bongo bana. Tena kwenda Hapo jalalani Beach Kidimbwi ndio unajiona umeyapatia maisha.
Watu tumefika SEASIDE AMELIA BEACH, FLORIDA na tumekaa kimya. Wewe kufika hapo uswekeni Beach Kidimbwi huoni hata aibu kuongea mbele za watu eti ulikuwa beach [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wabongo tembeeni hata hapo CAPETOWN
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nimegundua kumbe wivu ni mbaya sanaWaziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yeyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.
Chanzo: Eatv!
Sina stress ndiyo maana silambi viatu vya watawala kama wewe makalioPole sana. Ila jitahidi sana wanao waende shule. Hawatakuwa na stress kama wewe.
Huyu ni mwalimu wa Tundu Lissu aliyegombe urais wa JMT na kupata 13%
Acha tu, hata nyumbani kwetu tunajadiliwa na kupondwa, na tunajirekebisha na hata kuomba msamaha, wao duh, tusifie vitu tu hata wakiboronga..tumechoka..Spin doctors wa kubadili mijadala ya kitaifa
Huyu ni mwalimu wa Tundu Lissu aliyegombe urais wa JMT na kupata 13%
Dalili mojawapo ya Madaktari wa Vichaa kujua kama mtu ni kichaa ni pale anaposema "Sina stress Mimi!"Sina stress ndiyo maana silambi viatu vya watawala kama wewe makalio
Alinnkonyofu[emoji1787]Huyu profesa huyu mwe mwe mweeh
Fijho Nkamu🤣🤣🤣Alinnkonyofu[emoji1787]
Sishangai na mtub aliyetoka jalalani kuongea kauli kama hiyo.Kuelekea 2025!