Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Bible si kitabu cha taaluma! Na kama unapenda kuisoma na unaielewa, lakini ufuati yanayokupasa, lazima utachanganyikiwa, unaelewa mambo lakini unakuwa mnafiki, unaungana na mwonevu na kumpa moyo, basi litakupata!
 
Huyu angetulia tu....adikumbushe hasira wananchi juu yake mpuuzi sana huyo babu...
 
Mkuu unataka kutuaminisha kwamba wewe sheria zote wazijua,Sasa ngoja ukiwa kizimbani utajua ni sheria ipi inayokuhukumu.
Mkuu leo nipo beachkidimbwi, naendelea kutunza pesa nilizozipata kwa jasho langu,kama wewe ni muhusika au ndio Kabudi mwenyewe njoo unikamate uone navyokutoa knockout mahakamani,hakuna sheria iliyopitishwa na Bunge ya hivyo
 
Mi natumia hela na imeshanizowea kijana,kama hapa nina hangover za hennesy naelekea bichkidimbwi kupata supu moroooooo ya bata mzinga,maisha ndio haya haya
Hahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahaha

Vijana wa Bongo bana. Tena kwenda Hapo jalalani Beach Kidimbwi ndio unajiona umeyapatia maisha.

Watu tumefika SEASIDE AMELIA BEACH, FLORIDA na tumekaa kimya. Wewe kufika hapo uswekeni Beach Kidimbwi huoni hata aibu kuongea mbele za watu eti ulikuwa beach [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wabongo tembeeni hata hapo CAPETOWN

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Watu wameshikilia vyeo badala ya kuleta Sera nzuri kwenye wizara wanaongelea vitu petty.
Juzi juzi nilimsikia rais wa Burundi akisema afisa yeyote wa serikali mwenye nyumba ndogo au mchepuko atatumbuliwa.
Kalamaganda Kabugi sio mbunifu.
 
Hahaha kwahiyo kulewa Hennessy ndio kuwa na hela hahahaha

Vijana wa Bongo bana. Tena kwenda Hapo jalalani Beach Kidimbwi ndio unajiona umeyapatia maisha.

Watu tumefika SEASIDE AMELIA BEACH, FLORIDA na tumekaa kimya. Wewe kufika hapo uswekeni Beach Kidimbwi huoni hata aibu kuongea mbele za watu eti ulikuwa beach [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wabongo tembeeni hata hapo CAPETOWN

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Huna hela tulia wewee
 
Mimi huwa nawambia hawa vijana utakuta kavimba hapo na Kigali chake anaona kafika! Hawana malengo wapo wapo kutafuta sifa zisizo na maana! Ukimuuliza ushatoka hata nje ya nchi hata nchi jirani tu hapa hamna kitu! Tena hawa vijana wengi wa hapo Dar vichwa pamzi sana!
 
Hivi ni atakayetunza au atakayetuza? Hili neno huwa linanipa shida.. Hasa pale ninapomsikia Diamond akitamka "kumtunza"
Screenshot_20211023-095431~2.png

Screenshot_20211023-095355~2.png
 
Hahaha yani mkuu acha tu,

Vijana wa Tanzania tunakosa exposure ya kutoka nje kwahiyo mtu akiona Kafika beach Kidimbwi anajiona Yuko mbinguni wakati hapo Zanzibar tu Kuna Beach nzuri na ghali zenye zenye international status na watu hawajitapi kuwa wamewahi kufika hizo beach.

Nadhani ni ushamba, mtu mwenye akili yake timamu huwezi kuja mtandaoni ukajitapa umekunywa Bia ya Hennessy.

Huyu siku akinywa BrewDog Beer ataomba kipindi Clouds Fm atangazie ulimwengu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom