Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Kutunza kwa kutupa pesa chini ni kosa, waweza kukamatwa - Profesa Kabudi

Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema kuanzia sasa mtu yoyote atakayetunza kwenye sherehe kwa kutupa hela chini atashtakiwa mahakamani.

Source: Eatv!
Wanao tuza, nadhani siyo wanao tunza,nikimaanisha,kuntunza ni kumhifadhi,kumlisha,kumvalisha,kumsomesha na mengine mengi yanayohusu matunzo
 
Bado, nataka na kucheka hadharani wakate kodi tuwe wanunaji tu.
 
Inatakiwa unapokaa kimya muda mrefu ukirudi uongee point yamaana sio unatoa mimacho na kujaza mimate mdomoni huku ukiongea uzwazwa...
Fally alisukuma hela kwa teke haikuwa sawa lakini nikukemea tuu ksanza sio kutishia kufunga mtu
 
20210320_205744.jpg Alituaminisha kuwa kunywa juisi ya mizizi kunatibu Uviko wa kumi na tisa BOGUS kabisa.
 
Na wale wanaotuza kwa kuwawekea fedha wanawake wanamuziki kwenye matiti itakuaje?
 
Back
Top Bottom