Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi.

Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password.

Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi kila mtu akiingia anaiona?!
 
Mimi nikiwa safarini ni mwendo wa movie tu ha headset zangu
 
Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi.

Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password.

Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi kila mtu akiingia anaiona?!
Watanzania tuko taabani kwenye customer care hadi inatisha, hata shule za kuendesha biashara hazipo tena. Password ya WI-FI kwenye mabasi yaliyoamua kutia huduma hiyo, kwa nini isiwekwe kwenye tiketi ya abiria anayesafiri kwenye basi hilo? Allocation ya kiti cha abiria iende sambamba na Wi-Fi!.
 
Back
Top Bottom