Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
... Basi za kwenda Iselemagazi nusu ya abiri si wamepakata mbuzi na kuku mle ndani; zina wadada wasoma password kweli zile? I doubt.Ulipanda basi la kwenda iselamagazi nini, katarama wamebandika
πππ... Basi za kwenda Iselemagazi nusu ya abiri si wamepakata mbuzi na kuku mle ndani; zina wadada wasoma password kweli zile? I doubt.
πππ... Basi za kwenda Iselemagazi nusu ya abiri si wamepakata mbuzi na kuku mle ndani; zina wadada wasoma password kweli zile? I doubt.
Watanzania tuko taabani kwenye customer care hadi inatisha, hata shule za kuendesha biashara hazipo tena. Password ya WI-FI kwenye mabasi yaliyoamua kutia huduma hiyo, kwa nini isiwekwe kwenye tiketi ya abiria anayesafiri kwenye basi hilo? Allocation ya kiti cha abiria iende sambamba na Wi-Fi!.Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi.
Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password.
Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi kila mtu akiingia anaiona?!