Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Tuna uhakika gani kwamba ulichoandika hapa ni cha kutunga wewe mwenyewe?
 
Sasa unafananisha wahuni hao na Ukraine? fahamu kuwa Ukraine anapata msaada wa kiuchumi, kijeshi na umoja wa ulaya pamoja na US, sasa vipi wawe sawa na hao watu wanaotumia mawe?
 
Pale IRAQ mlichukua muda gani NATOO [emoji16][emoji16][emoji16]
ondoa dai la kwamba Urusi inapiga nchi zote 30 za Nato ndiyo u- sound logical.

HAPA TUNAONGELEA NCHI YENYE UWEZO WA KUPIGA US, CANADA, SPAIN, POLAND, GERMANY ETC KWA WAKATI MMOJA SO UNAPOLINGANISHA UWEZO WA HIYO NCHI NA NATO TAYARI NAKUONA UNATATIZO BINAFSI.
 
Marekani ilitumia siku nne kumuondoa Sadam ikulu, ikabakia kusafisha majimbo ya pembeni
 
View attachment 2160167

Ukiangalia tu katika Map.. ukraine ni kubwA ni mara mbili ya ukubwa wa Tanzania.. sasa usidhani na kanchi kadogo kama mnavyodhani.. ni Taifa kubwa na lina nguvu pia.. kwahiyo upinzani mkubwa lazima uwepo.
Siyo kweli mkuu, Ukraine ina ukubwa wa Square meter 600,000+, wakati TZ ina Square meter 900,000+
 
Swali la kujiuliza kabla ya Kuidharau Urusi ni Je?

NATO yenye nchi karibu 30 tangu kuanzishwa kwake ni vita ipi ambayo ilikuwa na lengo la kuiteka nchi nyingine kimamilifu iliyopiganwa kwa muda mfupi zaidi????
Iraq ilichukua siku 4 kuimtoa Sadam madarakani
 
Sasa unafananisha wahuni hao na Ukraine? fahamu kuwa Ukraine anapata msaada wa kiuchumi, kijeshi na umoja wa ulaya pamoja na US, sasa vipi wawe sawa na hao watu wanaotumia mawe?

kusaidiwa tu si tiket ya kushinda, Afghanistan walisaidiwa mafunzo, silaha zote za kijeshi na kifedha ila Taleban walikuja kwa miguu tu na A.K.A 47 serikali ikakimbia wakaacha vyote walivyosaidiwa na kufundishwa kwa miaka 20.
hiyo inatoa picha kwamba UTAMBULISHO wao tu TALEBAN kama Taleban ni ilikuwa ni kitisho tosha kwa serikali iliyoachwa na marekani.

picha hii tuliyoiona kwa Afghanistan ndiyo tulipaswa kuiona kwa Ukraine baada ya urusi kuivamia Ukraine.
hata yeye putin alitegemea kuona Ukraine ikisalimu Amri japo watakuwa na uhakika wa misaada toka west.

Urusi ni dhaifu na chochote kinachotoka mikono mwake ni dhaifu pia.

hata silaha zake zote alizokuwa anazipatia nchi kiarabu kuipigana na Israel hazikufanikiwa kwasababu ni dhaifu.

furthermore ukisema ni misaada ndiyo inaibeba ukrein basi inabidi ukubali kwamba west ina nguvu kuliko Urusi. ikiwa mpewa misaada tu anaiyumbisha Urusi namna hii vipi wao wenyewe waingia mazima, Urusi itasimama?.
 
Westerners wapo vizuri kwenye propaganda. Russia hata kama awe anaumwa Ukraine hamuwezi. Kiutuzima Zelensky kwwa kuwajali wananchi wake alitakiwa aitishe majadiliano toka mwanzo.
 
Kama Taliban wangepewa Ant Aircraft system kama Ukraine unafikiri ndege za US zingeruka hewani zinavyotaka? Acha masikhara Ukraine amepewa msaada wa kiwango cha juu kabisaa
 
Wewe ndio unatatizo umeulizwa swali badala yakujibu unaleta taarab pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…