Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Huwa naziona takwimu za warusi tu,binafsi nadhani yukreini anafanya propaganda pia......
 
Chanzo cha habari chako ni kipi?? Kilichosema kuwa angemaliza Ukraine ndani ya siku 2. Hata USA hawezi ichukua Tanzania kwa siku 2
Tanzania hii maskar wanarogana ili kupanda cheo? Mtu anaingia jeshini kisa mcheza ngoma?
 
View attachment 2160167

Ukiangalia tu katika Map.. ukraine ni kubwA ni mara mbili ya ukubwa wa Tanzania.. sasa usidhani na kanchi kadogo kama mnavyodhani.. ni Taifa kubwa na lina nguvu pia.. kwahiyo upinzani mkubwa lazima uwepo.
... you are wrong; hata ku-google tu mzee? Ukraine ==> 603,548 km²; Tanzania ==> 945,087 km².
 
Wengi tuliwaza hivi pia ila toka vita ianze tumeona mengi. Ila naamini NATO kwenye vita ya ardhini ni hatari, inasemekana tanks nyingi za russia zmefeli Ukraine.
 
Haya ndo tunaita mawazo huru, mawazo chanya yasiyofungamana na upande wowote ule.
 
Point of correction hiyo sio vita kwa mujibu wa Russia ni millitary operation jambo la pili Russia anachambua mchele na chuya .....
Hawa wajinga wa Ukraine wamechanganya raia na wanajeshi kitu ambacho kinamletea Russia ugumu kuwabutua vizuri wa Ukraine
 
Mwanajeshi pia ni raia wa Ukraine anaenda ka,ini na kurudi nyumbani uraisi

Mbona hata Sisi Tanzania wa wajeshi huenda kazini na kurudi mitaani walikopanga au nyumba zao zilipo unataka wakaishi hewani? Kuwa wanajeshi hakuwaondolei uraia wao

Na ukumbuke wao hawako ugenini wako kwao Ukraine Hawako ugenini kama majeshi ya Russia wanaolala kwenye vifaru na migari ya Jeshi na kulala kwenye mitalu ya vyoo vya wa Ukraine

Wanajeshi wa Ukraine wako kwao wans nyumba na apartment uraiani walikopanga

Putin anapoitwa ni mhalifu wa kivita na jumuiya ya kimataifa hawatanii ni kweli anashambulia maeneo wanayoishi raia kwa kisingizio cha kamuona mwanajeshi.Yule yuko kwao hata awe mwanajeshi unampigaje akiwa nyumbani kwake uraiani kwenye apartments yake akiwa na raia wenzie

Hata Urusi wako wanajeshi uraiani na nchi zote duniani hutambua hilo ndio maana imekatazwa kushambulia maeneo ya uraiani ukivamia nchi ya mtu ni uhalifu wa kivita
 
View attachment 2160167

Ukiangalia tu katika Map, ukraine ni kubwa ni mara mbili ya ukubwa wa Tanzania, sasa usidhani na kanchi kadogo kama mnavyodhani.. ni Taifa kubwa na lina nguvu pia kwahiyo upinzani mkubwa lazima uwepo.
Acha kudanganya watu wewe kijana. Kieneo,Ukraine ni ndogo Sana ukilinganisha na Tanzania.

Ukraine + Uganda = Tanzania.

Ukubwa wa Ukraine Vs Tanzania

1.Ukraine 603,548 Km²

2. Tanzania 945,612 Km²

View attachment 2160520
 
NATO wenyewe wako wapi? kama sio wako nje wanasikilizia vichapo vya Zelensky? Waingie dimbani waucheze muziki wa Putin kama wanaweza.
Watu mnaweka mabandiko tu action zero ndio nini sasa?
 
Kuna mwanajf mmoja hapa aliwahi zungumza kuwa product nyingi za Russia sio bora kuliko za Ulaya. Nikisoma hapa na maelezo yako ndo nazid kuamin.
 
Size of Ukraine = 603,548 km² and Size of Tanzania =945,087 km²
Hapo ndio unajua kwamba baadhi ya wachangiaji wanaendeshwa na Mahaba TU. Yaani mtu Kabla ya kuropoka anashindwa hata ku-Google? Eti kieneo Ukraine ni kubwa kuliko Tanzania? Ndio maana Sasa hivi sitaki hata kuchangia make Kuna Form one humu nao wanajifanya kuijui URUSI au Ukraine nje ndani.
 
Nani alikuambia Russia ilipanga siku 2 imalize kuteka ukrain ..acha ushabiki njaa. Haya tuambie hata marekani haiteki nchi yeyote kwa siku 2 . Acha umburura uwe unajihoji bata ww hata mwanamke hutombi kwa kutongoza siku 2 labda chagudoa
 
NATO wenyewe wako wapi? kama sio wako nje wanasikilizia vichapo vya Zelensky? Waingie dimbani waucheze muziki wa Putin kama wanaweza.
Watu mnaweka mabandiko tu action zero ndio nini sasa?
Vitani NATO wameshaingia kupitia vikwazo vya kiuchumi una miwazo ya kizamani mno unadhani kupigana ni ngumi, mateke na mirisasi tu

Russia anachakazwa na vikwazo vya kiuchumi vya NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…