Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
Aisee umenena na Chadema nao tena ni wakomboziMkombozi ni Yesu Kristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umenena na Chadema nao tena ni wakomboziMkombozi ni Yesu Kristo
Naona unasheherekea mauaji ya wasio na hatiaAcheni wehu nyie mnashindwa kujikomboa wenyewe mtakomboa nchi?? Nchi haiwezi kukombolewa Kwa maridhiano na siasa za kwenye Keyboard... Mnaboa bwanaa
Inasikitisha sana wengine miili yao kulishwa Fisi.Ni afadhali ya huyu yeye atazikwa.
Kwahiyo kwa kutotangazwa kuwa kahamia CDM hiyo ndiyo iwe sababu ya kuuwawa. Ebu fafanua vizuriWapumbavu wakubwa nyie CHADEMA endeleeni kubwata badala yakuchukua Kali
Mzee kafariki bila hatia na kwann hamkumtangaza kuwa kahamia kwenu kutoka ccm
Mnyika aliulizwa na waandishi wa habari kuwa huyu mzee ni nani akajibu kihuni huni tu ..mkomeshwe kabisa
Sababu zamnyika kuficha kwamba yule mzee ni mstaafu jeshini kwenye press ilikuwa nnKwahiyo kwa kutotangazwa kuwa kahamia CDM hiyo ndiyo iwe sababu ya kuuwawa. Ebu fafanua vizuri
Ingia Porini uone cha mtemakuni unazani CDM hawana akili.Acheni wehu nyie mnashindwa kujikomboa wenyewe mtakomboa nchi?? Nchi haiwezi kukombolewa Kwa maridhiano na siasa za kwenye Keyboard... Mnaboa bwanaa
Kuna kosa gani kwa mstaafu wa Jeshi kujiunga Chadema, Mbona huyohuyo alikuwa CCM?Sababu zamnyika kuficha kwamba yule mzee ni mstaafu jeshini kwenye press ilikuwa nn
Kaka sometimes nawaza wapinzani wanapambania kizaxi ambacho kima ignore matatizo yao na kumkumbatia oppressor kwa makusudiInasikitisha sana.lakini sometimes kupambania wajinga tuitwao waTanzania ni ujinga na wenyewe..bora ubaki na uhai wako ukacheke na wajukuu..ona sasa mzee wa watu walichomfanyia.Dah!
Kwann mnyika alificha kutambulisha wasifu wake ,ndohoja yanguKuna kosa gani kwa mstaafu wa Jeshi kujiunga Chadema, Mbona huyohuyo alikuwa CCM?
Kinana, Makamba, Kikwete, John Komba na wengine kibao walikuwa wanajeshi
Sijaelewa ulichoandika hapa kinahusiana vipi na mada mezani maana kama unaamini wenye dini na wanaoamini Mungu wote ni wema na wasioamini ktk Mungu wote ni wabaya utakuwa umeyumba kichwa vibaya sana.Falsafa ya dini badala yakuja kuhakikisha kwamba yalio andikwa yana uhakika nawatu wapate hofu zaidi sasa kwabahati mbaya zaidi ndio imekuja kuwasanua watu kua moto mkali sana wakuchoma naulio jaa majoka makubwa
HAUPO👈
achilia mbali kusifu,kula kunywa na nakila starehe lakini watu wamepuuza kabisa ahadi hii.
nawaza kikundi,au watu flani wenye imani thabiti tena wakiwa na akili timamu juu ya mungu muumba hawawezi kufanya kitendo kibaya mnooo.
huwezi kuuwa watu kama unauhakika kabisa kesho kuna
MOTO👈
😭😭😭😭😭
Kulikuwa na ulazima upi?Kwann mnyika alificha kutambulisha wasifu wake ,ndohoja yangu
Jana ,ameulizwa wasifu wa Ali ,akajibu ni mjumbe secretarieti ,sawa kwann alificha kuhusu huduma nyingine alizohudumu kama mtaifa
hutanielewaKulikuwa na ulazima upi?
Sio rahisi kunielewa ndio hivo tena hukuelewa nilicho kiandika.Sijaelewa ulichoandika hapa kinahusiana vipi na mada mezani maana kama unaamini wenye dini na wanaoamini Mungu wote ni wema na wasioamini ktk Mungu wote ni wabaya utakuwa umeyumba kichwa vibaya sana.
Wapo atheist wema kushinda hao wenye dini zao na huko kwenye dini pia wema wapo,twende na mada mezani mjadala usihamishwe.
Ssa hizo huduma nyingine zingekusaidia nini hivi wewe unajua huduma nyingine za mbowe au hoyo mnyika huko aliku tokea hapa kikubwa ni kutafuta wauaji ni wakina nani basi finish au unataka kumnukuu mzee wa upako alivyo sema Jana kuwa kuna watu ruksa kutekwa hata kwenye Biblia wameandika.Kwann mnyika alificha kutambulisha wasifu wake ,ndohoja yangu
Jana ,ameulizwa wasifu wa Ali ,akajibu ni mjumbe secretarieti ,sawa kwann alificha kuhusu huduma nyingine alizohudumu kama mtaifa
Unapopataka napajua lakini kulikuwa na ulazima upi ikiwa huyu alishaingia kwenye siasa za hadharani tangu ccm?hutanielewa
Mimi ndo nimejua Leo ,kwann katibu hakutaja hayoyote akaishia kudai alikuwa mjumbe kwenye sekretarieti ya chamaUnapopataka napajua lakini kulikuwa na ulazima upi ikiwa huyu alishaingia kwenye siasa za hadharani tangu ccm?