Pre GE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ndo nimejua Leo ,kwann katibu hakutaja hayoyote akaishia kudai alikuwa mjumbe kwenye sekretarieti ya chama
Mtu yeyote anatambulishwa kwa vyeo alivyonavyo sasa, hata Dr Slaa hakutambulishwa kwamba aliwahi kuwa Askofu wa Katoliki wala hawakusema alikuwa mwanaccm, Alitambulishwa kama Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Karatu
 
Kaa kimya ...ngoja iendelee kuvuja
 
Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati.

Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga hakuna aliyemgusa, kumtisha wala kumteka, Kuhamia CHADEMA tu limekuwa kosa la hukumu ya Kifo!

Hizi siasa za kishamba zinazoletwa na viongozi wa sasa wakiongozwa na Samia Suluhu Hassan, hazina tija yeyote kwenye Nchi na wala hazitoikatisha tamaa CHADEMA, zaidi sana zinaidhalilisha Nchi kwenye Jumuiya ya Kimataifa.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Bali Ifahamike Kwamba Chadema itaendelea kuhakikisha Nchi na Wananchi wanakombolewa, hii ni kwa sababu Hakuna mahali popote kwenye Dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu

Hata wewe Mwanaccm hupaswi kufurahia jambo hili, hii ni kwa vile Shetani hajawahi kuwa na Rafiki, akichoka kushughulika na Chadema atashughulikia Wanaccm Wenzake, Mifano ni Mingi Mno, Nape Nnauye, Edward Lowassa na Phillipo Mangula iwe sehemu ya Mafunzo kwenu.
Huyu mzee alikuwa usalama, kuhama chama alijiandikia kifo chake mwenyewe, ukiwa usalama wa taifa tanzania baki na ccm ukitoka umekufa.
 
sema tu bayana kwamba hilo ni onyo kwa wanaowapipinga baadhi ya wenye nguvu wanaotafuta uongozi kwa udi na uvumba chamani licha ya kua hawana hoja wala uhalali wa kua viongozi 🐒
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.

—Martin Niemöller
 
Una uhakika gani kwamba serikali imehusika?
Ona akili zako

First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.

—Martin Niemöller
 
Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati.

Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga hakuna aliyemgusa, kumtisha wala kumteka, Kuhamia CHADEMA tu limekuwa kosa la hukumu ya Kifo!

Hizi siasa za kishamba zinazoletwa na viongozi wa sasa wakiongozwa na Samia Suluhu Hassan, hazina tija yeyote kwenye Nchi na wala hazitoikatisha tamaa CHADEMA, zaidi sana zinaidhalilisha Nchi kwenye Jumuiya ya Kimataifa.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Bali Ifahamike Kwamba Chadema itaendelea kuhakikisha Nchi na Wananchi wanakombolewa, hii ni kwa sababu Hakuna mahali popote kwenye Dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu

Hata wewe Mwanaccm hupaswi kufurahia jambo hili, hii ni kwa vile Shetani hajawahi kuwa na Rafiki, akichoka kushughulika na Chadema atashughulikia Wanaccm Wenzake, Mifano ni Mingi Mno, Nape Nnauye, Edward Lowassa na Phillipo Mangula iwe sehemu ya Mafunzo kwenu.
Hawa vibaka hawa ,
 
Wapumbavu wakubwa nyie CHADEMA endeleeni kubwata badala yakuchukua Kali

Mzee kafariki bila hatia na kwann hamkumtangaza kuwa kahamia kwenu kutoka ccm

Mnyika aliulizwa na waandishi wa habari kuwa huyu mzee ni nani akajibu kihuni huni tu ..mkomeshwe kabisa
Hata wewe hauko salama, watu wa hovyo kama wewe ni janga kwa Taifa
 
ni wajinga tu wanaweza kuipigia kura chagadema, mama atashinda kwa kishindo kihalali kabisa Ili chama cha mbowe kijifie
 
Back
Top Bottom