Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

Je, Freeman Mbowe atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025
 
Tusimsahau "mama" jana ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu Mgogoro wa Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro lakini hakuna mtu mwenye muda wa kufanya uchambuzi.
Gentleman,
wacha kazi ifanyike wanainchi wapate maendeleo, hiyo ndiyo muhimu zaidi gentleman πŸ’
 
tayari ameshaanza kuweka masharti,
eti uchaguzi ukiwa huru na haki atakubali vinginevyo atafanya uamuzi mwingine..

hii ni exit strategy,
wewe kwenye chama chako mwenyewe unamuwekea masharti nani?πŸ’
Hata ukiwa huru atasema sio huru, Hana jema kwa kifupi.
 
Je, Freeman Mbowe atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025
kwakua hajaweka masharti kama Lisu kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki atafanya uamuzi mwingine,

ni wazi chances za Mbowe kushinda uchaguzi huo ni above 100%, ukilinganisha na below 0% ya Lisu πŸ’
 
Lissu Hana tamaa kuzidi kama wanasiasa wengine, kwake utumishi ni dhamana sio kama kina mbowe, lipumba nk
 
kwakua hajaweka masharti kama Lisu kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki atafanya uamuzi mwingine,

ni wazi chances za Mbowe kushinda uchaguzi huo ni above 100%, ukilinganisha na below 0% ya Lisu πŸ’
Kama chama karibu chote kimehongwa na Mapesa ya Abdul kimebaki nn? Fikiria wenje alimpa lissu orodha yote waliokula mlungula, kimebaki nn
 
Kwani shida ni nn? Lissu anaipenda haki daima
 
Kama chama karibu chote kimehongwa na Mapesa ya Abdul kimebaki nn? Fikiria wenje alimpa lissu orodha yote waliokula mlungula, kimebaki nn
hivi pale nyumbani kwa Lisu kuna CCTv cameras? au ni bullets proof tu 🀣

ili tujiridhishe huyo anaetajwa kupelekwa nyumbani kwake jinsi alivyoingia na kutoka πŸ’
 
Kwani mtu anapoamua kugombea urais, kusudi lake kuu ni nini?.

Je, ni kutimiza ndoto yake au kugombea ili kutatua kero za wananchi ?
kwa mfano Lisu ni anataka kutimiza ndoto zake na kutimiza ahadi alizowapa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kuipata nafasi hiyo, na si vinginevyo πŸ’
 
hivi pale nyumbani kwa Lisu kuna CCTv cameras? au ni bullets proof tu 🀣

ili tujiridhishe huyo anaetajwa kupelekwa nyumbani kwake jinsi alivyoingia na kutoka πŸ’
Haahaa msikilize wenje utaelewa, lissu aliwatega akawaambia njoeni nyumbani.hashaa
 
Tuambie Magufuli na Samia walishika nafasi zipi za uongozi katika chama Cha Mapinduzi Hadi kupewa Rushwa ya kugombea. Hapa oatasaidia kuwa na sampuli ya kujifunza
 
Tuambie Magufuli na Samia walishika nafasi zipi za uongozi katika chama Cha Mapinduzi Hadi kupewa Rushwa ya kugombea. Hapa oatasaidia kuwa na sampuli ya kujifunza
wote walikua wajumbe wa mkutano mkuu Taifa gentleman πŸ’
 
Haahaa msikilize wenje utaelewa, lissu aliwatega akawaambia njoeni nyumbani.hashaa
sasa mbona anataka chadema HQ ndio watoe footage za mikutano yao ya ndani eti wakijadiliana masuala ya rushwa,

ugumu uko wapi kwa yeye kuthibitisha kwamba hakupokea au alipokea mlungula anaodai kuletewa kwake?

this gentleman is confused and of course is completely not serious with corruption issues πŸ’
 
Lissu Hana tamaa kuzidi kama wanasiasa wengine, kwake utumishi ni dhamana sio kama kina mbowe, lipumba nk
dhamana ya kuukana umakamu mwenyekiti na kutamani uenyekiti ambao tayari kuna mtu mwenye nguvu zaid yake kisiasa?πŸ’
 
kwa mfano Lisu ni anataka kutimiza ndoto zake na kutimiza ahadi alizowapa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kuipata nafasi hiyo, na si vinginevyo πŸ’
No!..
Napingana na ww at 100%,
Coz,unawezaje kusema eti tundu lisu ana ahadi na hao wamagharibi,ili hali yeye ni mwanasheria so kuwazungumzia hao wamagharibi sio kwamba kaweka ahadi nao,but ni katka shughuli zake tu za uanasiasa ndo maana inaonekana as if anaahadi nao.
 
anaweza kua mwanasheria mzuri sana kwa mtazamo wako, lakini ni mwanasheria alierubuniwa kifikra, kwa hali na mali na mabwenyenye ya magharibi..

kwa lugha rahisi,
huyo ni pure puppet wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 
Unaweza kushindana naye kwenye fani hiyo ya uanasheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…