Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?

Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena Oct.2025?

Kama mdau wa siasa za Tanzania, unapendekeza na kumshauri huyu muungwana aelekee chama gani cha siasa, ili kuendeleza azma na ndoto yake ya kutaka kujaribu kugombea urasi tena uchaguzi wa 2025?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Je, Freeman Mbowe atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025
 
Tusimsahau "mama" jana ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu Mgogoro wa Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro lakini hakuna mtu mwenye muda wa kufanya uchambuzi.
Gentleman,
wacha kazi ifanyike wanainchi wapate maendeleo, hiyo ndiyo muhimu zaidi gentleman 🐒
 
tayari ameshaanza kuweka masharti,
eti uchaguzi ukiwa huru na haki atakubali vinginevyo atafanya uamuzi mwingine..

hii ni exit strategy,
wewe kwenye chama chako mwenyewe unamuwekea masharti nani?🐒
Hata ukiwa huru atasema sio huru, Hana jema kwa kifupi.
 
Je, Freeman Mbowe atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025
kwakua hajaweka masharti kama Lisu kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki atafanya uamuzi mwingine,

ni wazi chances za Mbowe kushinda uchaguzi huo ni above 100%, ukilinganisha na below 0% ya Lisu 🐒
 
Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?

Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena Oct.2025?

Kama mdau wa siasa za Tanzania, unapendekeza na kumshauri huyu muungwana aelekee chama gani cha siasa, ili kuendeleza azma na ndoto yake ya kutaka kujaribu kugombea urasi tena uchaguzi wa 2025?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lissu Hana tamaa kuzidi kama wanasiasa wengine, kwake utumishi ni dhamana sio kama kina mbowe, lipumba nk
 
kwakua hajaweka masharti kama Lisu kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki atafanya uamuzi mwingine,

ni wazi chances za Mbowe kushinda uchaguzi huo ni above 100%, ukilinganisha na below 0% ya Lisu 🐒
Kama chama karibu chote kimehongwa na Mapesa ya Abdul kimebaki nn? Fikiria wenje alimpa lissu orodha yote waliokula mlungula, kimebaki nn
 
nadhani Lisu mwenyewe ndie anaenyoroshwa vizuri sana, anakataliwa na wajumbe hadharani bana dah 🤣

kwenye uchaguzi wa chadema kanda ya kati, ambako ndiko anakotoka Lisu, mbele ya macho yake mgombea wake akaambulia kura 7, mbele ya Devota Minja alieshinda kwa kishindo right? ? dah 🤣
Kwani shida ni nn? Lissu anaipenda haki daima
 
Kama chama karibu chote kimehongwa na Mapesa ya Abdul kimebaki nn? Fikiria wenje alimpa lissu orodha yote waliokula mlungula, kimebaki nn
hivi pale nyumbani kwa Lisu kuna CCTv cameras? au ni bullets proof tu 🤣

ili tujiridhishe huyo anaetajwa kupelekwa nyumbani kwake jinsi alivyoingia na kutoka 🐒
 
Kwani mtu anapoamua kugombea urais, kusudi lake kuu ni nini?.

Je, ni kutimiza ndoto yake au kugombea ili kutatua kero za wananchi ?
kwa mfano Lisu ni anataka kutimiza ndoto zake na kutimiza ahadi alizowapa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kuipata nafasi hiyo, na si vinginevyo 🐒
 
hivi pale nyumbani kwa Lisu kuna CCTv cameras? au ni bullets proof tu 🤣

ili tujiridhishe huyo anaetajwa kupelekwa nyumbani kwake jinsi alivyoingia na kutoka 🐒
Haahaa msikilize wenje utaelewa, lissu aliwatega akawaambia njoeni nyumbani.hashaa
 
Gentleman,
mwanachama wa kawaida utapewa nafasi ya kuchukua fomu tu ili chama kipate mapato but hutapewa kipaumbele zaidi ya wagombea viongozi waandamizi waliopambana ndani ya chama na kushinda nafasi walizonazo...

Yaani eti wakupe hiyo fursa wewe ambae umeshindwa uchaguzi wa nafasi mbalimbali ndani ya chama? si maana yake hukubaliki ndani ya chama sasa?

nje ya chama utakua huuziki na ni ngumu kukunadi na kwahivyo utakatwa mara moja 🤣🐒
Tuambie Magufuli na Samia walishika nafasi zipi za uongozi katika chama Cha Mapinduzi Hadi kupewa Rushwa ya kugombea. Hapa oatasaidia kuwa na sampuli ya kujifunza
 
wote walikua wajumbe wa mkutano mkuu Taifa gentleman 🐒
 
Haahaa msikilize wenje utaelewa, lissu aliwatega akawaambia njoeni nyumbani.hashaa
sasa mbona anataka chadema HQ ndio watoe footage za mikutano yao ya ndani eti wakijadiliana masuala ya rushwa,

ugumu uko wapi kwa yeye kuthibitisha kwamba hakupokea au alipokea mlungula anaodai kuletewa kwake?

this gentleman is confused and of course is completely not serious with corruption issues 🐒
 
Lissu Hana tamaa kuzidi kama wanasiasa wengine, kwake utumishi ni dhamana sio kama kina mbowe, lipumba nk
dhamana ya kuukana umakamu mwenyekiti na kutamani uenyekiti ambao tayari kuna mtu mwenye nguvu zaid yake kisiasa?🐒
 
kwa mfano Lisu ni anataka kutimiza ndoto zake na kutimiza ahadi alizowapa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup kuipata nafasi hiyo, na si vinginevyo 🐒
No!..
Napingana na ww at 100%,
Coz,unawezaje kusema eti tundu lisu ana ahadi na hao wamagharibi,ili hali yeye ni mwanasheria so kuwazungumzia hao wamagharibi sio kwamba kaweka ahadi nao,but ni katka shughuli zake tu za uanasiasa ndo maana inaonekana as if anaahadi nao.
 
anaweza kua mwanasheria mzuri sana kwa mtazamo wako, lakini ni mwanasheria alierubuniwa kifikra, kwa hali na mali na mabwenyenye ya magharibi..

kwa lugha rahisi,
huyo ni pure puppet wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Unaweza kushindana naye kwenye fani hiyo ya uanasheria?
 
Back
Top Bottom