Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

Unawezakushindana naye kwenye taaluma ya sheria? Hayo ya ukibaraka ni porojo tu zilizohapo lumumba.
naweza kupeana changamoto na wazalendo wa taaluma mbalimbali, lakini kupoteza muda na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi itakua ni kupoteza muda, lakini pia ni element za kitumwa 🐒
 
Nimekuletea comment yako uone utafiti wako uliokuwa unamponda mwenyekiti Mbowe.
kitaalamu naweza kumponda au kumsifia yeyote yule kulingana na angel ya ama kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa au kimataifa ..


kwahiyo nikikuponda hapa sasa hivi kwasabb ya mdomo, paper and makelele, naweza kukusifia kwa umakini na visionary thinking yako kuhusu jambo fulani,

mimi si mtu wa kanyaga twende gentleman 🐒
 
Acha umbea, jazeni Nafasi yenu ya Makamu Mwenyekiti Kwanza!!
 
Leo unaipenda chadema na mwenyekiti kwasababu ya maslahi yenu kisiasa na sio kwa upenzi.
genteman,
mimi ni mtaalamu mchambuzi wa siasa za vyama vya siasa ikiwa ni pamoja na chadema,

na huwa sina mapenzi na chama cha siasa
 
anaweza kua mwanasheria mzuri sana kwa mtazamo wako, lakini ni mwanasheria alierubuniwa kifikra, kwa hali na mali na mabwenyenye ya magharibi..

kwa lugha rahisi,
huyo ni pure puppet wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Ni ishara gani zinazo dhibitisha kuwa bwana tundu antipas mgwai lissu ni "pure puppet",

Mbona kipindi cha risasi hamkusema kuwa lissu ni puppet wao?.
Je kutibiwa hko ughaibuni ili kuokoa uhai wake leo kawa puppet wao?.

Je ninani angefurahi kama bwana lissu angeiaga dunia katka kile kipind cha lisasa?..

Ukijibu hayo maswali yote,basi hekima inahitajika sana kabla ya kumhukum lissu,et ni puppet..
🫵...
 
Gentleman,
mawazo, maneno, matendo na mienendo yake kisiasa ni dhahiri muungwana ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Full stop
 
Kaka unaangaika Sana embu pumzika.
Lisu asubuhi lisu mchana lisu jioni.
 
Umeshajibadilisha kutoka tlaatlaah na sasa unajiita Wadau.

Fanya homework zako vizuri
relax gentleman,

twende haste haste tu tutaelewana pamoja na wadau wote wa JF na tutasonga pamoja kwa umoja
 
sure,
uwezo wa kua kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hakuna wa kumfikia humu nchini, labda Moise Katumbi huko DRC.

2025 anainza kwa fedheha sana hatakua na nafasi yoyote ya uongozi chadema, atakua kama wewe tu
 
Mnadi mama ya chadema kausha ki ukweli hayakuhusu gentleman
gentleman,
mimi nazungumzia mambo ya ndani ya vyama vyote vya siasa nchini kulingana na wakati muafaka..

na vyama vyote vinnihusu kwasababu ni mali ya umma, ruzuku ambayo ni kodi yangu na yako si wanapata? alaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…