Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

Hakuna mbabe mbele ya kifo hata huyo Mungu wenu Netanyau mnaye shinda mna msifu kuuwa vichanga na wanawake ipo siku isiyo na jina zamu yake itafika tena anaweza kufa kifo cha kifala na cha aibu mno.

Sawa ostadhi tumekusikia.
 
Vita vya ardhini ni vigumu sana, marekani hakua mpumbavu kukimbia Vietnam. Tatizo watu wengi walishaharibiwa kiakili na movie za Hollywood.
 
Guruwe jingine limekufa Asante Mungu

Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi

Piga makenge hayo mavaa pampas!!

Go Hamas Go
Mpumbavu sana wewe juha,hadi sasa hivi wamekufa wapalestina zaidi ya 15,000 na Gaza ndo imeenda hivyo,na Bado wanauliwa kila siku,wewe ndo shoga fisi usiye na akili kabisa
 
Hakuna mbabe mbele ya kifo hata huyo Mungu wenu Netanyau mnaye shinda mna msifu kuuwa vichanga na wanawake ipo siku isiyo na jina zamu yake itafika tena anaweza kufa kifo cha kifala na cha aibu mno.
Swaini mkubwa wewe,kwani wapalestina wako wanakufa kifo cha Heshima?
Na Gaza ni mali ya Israel sasa hivi mtajuta
 
Hiki chanzo Mbona kimekaa kimagumashi Habari yenye fupi haina maelezo yoyote ya kina Kama ameandika mtoto Hata Picha ya ushahidi hakuna .
Information war imeanza kutoka kwa Hamas kama Ukraine wanavyofanya.
Mpaka sasahivi Israel ameshaikalia gaza City na Gaza kaskazini yote na ameteremsha vipeperushi kuwataarifu gaza kusini kuwa wajiandae anakuja .
Yote kwa yote vita sio sinema lazima kutakuwa na gharama ya maisha .
 
Guruwe jingine limekufa Asante Mungu

Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi

Piga makenge hayo mavaa pampas!!

Go Hamas Go
Taarifa za kiintelinjensia zinasema, actually Israel wanataka kuishambulia Iran ambao ndio saizi yao. Kwa HAMAS wanatafuta kisingizio tu. Na Iran ishashtukia mchezo. Hawataki KABISA kujihusisha na HAMAS maana wanaujua muziki wa Israel. Wewe endelea na Go HAMAS go huku wenzako wanateketea!
 
Mbona hii ni sare ya IDF .

Mossad unit ipi alikuwa?
 
Go wapi wakati wamejificha mashimoni kama mende,wanaume wanatamba ndani ya gaza,kama hamas vidume kweli waibuke waje wapigane vita halisi.

Pia kufa mwanajeshi vitani ni matokeo ya vita.
Sasa kama wamejificha inakuwaje makamanda wakuu kama huyo wanauliwa?
 
Nimesikia Vita ni kama imeanza upya .
 
Apumzike kwa amani shujaa kevin..n mzee wa kazi netanyahu ameshasemaa damu bingwa huyu italipwa na nafsi mia moja za mapalestina dah! mwarab kakosea njia kwa myahudi hapaa..
Kadondoshwa na snipers vijana, hawa:

Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba IDF wasife wamekuwa maroboti ama, hiyo ni kawaida ya vita acheni kujitoa ufahamu ila msichokijua ni kwamba kifo Cha IDF mmoja basi lazima aondoke na Hamas 100.
Hamas??? Au wanawake na watoto? Cowards
 
Kadondoshwa na snipers vijana, hawa:

View attachment 2818228
Alafu kuna watu wanataka vita iishe, sijui wapalestina wanauwawa, mara sijui watoto wakipalestina wamekufa elfu 10. Ni UONGO, Hamasi wanaonyesha uwezo mkubwa sana, ni jambo jema sana waachwe hawa wapigane wasitafute visingizio. Kama wapalestina wanauwawa na wao wakawauwe wa Israel, waache kelele za kutafuta huruma, mara sijui cease fire, mara humanitarian aid, ujinga mtupu, hawa wachwe wapigane mpaka kieleweke.
Sasa watu wako kazini mnataka vita iishe ili wafanye nini sasa? Wauze sembe? Kitifueni tu mimi nasubiri kuona the last man standing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…