jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wapi chanzo aminika
Chanzo kimetoka madrasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi chanzo aminika
Hakuna mbabe mbele ya kifo hata huyo Mungu wenu Netanyau mnaye shinda mna msifu kuuwa vichanga na wanawake ipo siku isiyo na jina zamu yake itafika tena anaweza kufa kifo cha kifala na cha aibu mno.
Sawa kateksita.Sawa ostadhi tumekusikia.
Si kifo au?Alifata nini uko gaza
Kwanza tupe source.Kauliwa na Wanamgambo wa Israel baada kushambulia Gaza
Mpumbavu sana wewe juha,hadi sasa hivi wamekufa wapalestina zaidi ya 15,000 na Gaza ndo imeenda hivyo,na Bado wanauliwa kila siku,wewe ndo shoga fisi usiye na akili kabisaGuruwe jingine limekufa Asante Mungu
Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi
Piga makenge hayo mavaa pampas!!
Go Hamas Go
Swaini mkubwa wewe,kwani wapalestina wako wanakufa kifo cha Heshima?Hakuna mbabe mbele ya kifo hata huyo Mungu wenu Netanyau mnaye shinda mna msifu kuuwa vichanga na wanawake ipo siku isiyo na jina zamu yake itafika tena anaweza kufa kifo cha kifala na cha aibu mno.
Hiki chanzo Mbona kimekaa kimagumashi Habari yenye fupi haina maelezo yoyote ya kina Kama ameandika mtoto Hata Picha ya ushahidi hakuna .Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika.
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Hivi sasa kwa record hii ya waisraeli wengi kuuwawa basi Gaza inafutwa kwenye ramani ya dunia .Miaka ile ya mwanzo ilikuwa 0:100 na 1:2500
Taarifa za kiintelinjensia zinasema, actually Israel wanataka kuishambulia Iran ambao ndio saizi yao. Kwa HAMAS wanatafuta kisingizio tu. Na Iran ishashtukia mchezo. Hawataki KABISA kujihusisha na HAMAS maana wanaujua muziki wa Israel. Wewe endelea na Go HAMAS go huku wenzako wanateketea!Guruwe jingine limekufa Asante Mungu
Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi
Piga makenge hayo mavaa pampas!!
Go Hamas Go
Mbona hii ni sare ya IDF .Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika.
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Sasa kama wamejificha inakuwaje makamanda wakuu kama huyo wanauliwa?Go wapi wakati wamejificha mashimoni kama mende,wanaume wanatamba ndani ya gaza,kama hamas vidume kweli waibuke waje wapigane vita halisi.
Pia kufa mwanajeshi vitani ni matokeo ya vita.
Mossad vitani anavaa IDF,ila wanajuana wenyewe wakiwa uwanja wa vitaMbona hii ni sare ya IDF .
Mossad unit ipi alikuwa?
Kadondoshwa na snipers vijana, hawa:Apumzike kwa amani shujaa kevin..n mzee wa kazi netanyahu ameshasemaa damu bingwa huyu italipwa na nafsi mia moja za mapalestina dah! mwarab kakosea njia kwa myahudi hapaa..
Hapo Mfia dini unashangilia.. bogus
Hamas??? Au wanawake na watoto? CowardsKwamba IDF wasife wamekuwa maroboti ama, hiyo ni kawaida ya vita acheni kujitoa ufahamu ila msichokijua ni kwamba kifo Cha IDF mmoja basi lazima aondoke na Hamas 100.
Alafu kuna watu wanataka vita iishe, sijui wapalestina wanauwawa, mara sijui watoto wakipalestina wamekufa elfu 10. Ni UONGO, Hamasi wanaonyesha uwezo mkubwa sana, ni jambo jema sana waachwe hawa wapigane wasitafute visingizio. Kama wapalestina wanauwawa na wao wakawauwe wa Israel, waache kelele za kutafuta huruma, mara sijui cease fire, mara humanitarian aid, ujinga mtupu, hawa wachwe wapigane mpaka kieleweke.