Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

Si
Mbona uchokozi mlianza wenyewe saiv mnaomba huruma??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kwamba uchokozi kauanza Israel kwa kuijitwalia kimabavu ardhi ya Palestine kuanzia mwaka 1948?
 
Kwa hiyo,the hunter became hunted?

By the way,what goes arround comes arround!!!
 
Mi nilisema hapa,hao Hamas ni kisingizio tu.
Jinsi walivyoondoka pale na vifaa vile.
Walikua wamejiandaa kwa vita ndefu sana na Marekani kaongeza vitu baharini.
Ngoja tu tuone wanafagia Hamas wanapitiliza hadi huko kwingine.
Iran anajua mikwaju inayokuja.
Lebanon anawajua hawa.
Yemen kombora moja tu watabaki uchi na misuli yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…