Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

Si
Mbona uchokozi mlianza wenyewe saiv mnaomba huruma??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kwamba uchokozi kauanza Israel kwa kuijitwalia kimabavu ardhi ya Palestine kuanzia mwaka 1948?
 
Kwa hiyo,the hunter became hunted?

By the way,what goes arround comes arround!!!
 
Taarifa za kiintelinjensia zinasema, actually Israel wanataka kuishambulia Iran ambao ndio saizi yao. Kwa HAMAS wanatafuta kisingizio tu. Na Iran ishashtukia mchezo. Hawataki KABISA kujihusisha na HAMAS maana wanaujua muziki wa Israel. Wewe endelea na Go HAMAS go huku wenzako wanateketea!
Mi nilisema hapa,hao Hamas ni kisingizio tu.
Jinsi walivyoondoka pale na vifaa vile.
Walikua wamejiandaa kwa vita ndefu sana na Marekani kaongeza vitu baharini.
Ngoja tu tuone wanafagia Hamas wanapitiliza hadi huko kwingine.
Iran anajua mikwaju inayokuja.
Lebanon anawajua hawa.
Yemen kombora moja tu watabaki uchi na misuli yao.
 
Back
Top Bottom