Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika.
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
Colonel Kevin Darwin

The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin