mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi?
Kumbukeni Rais nae ni binadam kama sisi tu , Tena ni mwanamke wa shoka ambae damu bado inachemuka ,mwacheni aijenge nchi huko mafichoni ,akirudi atatuambia twende na Lipi Ili sisi wazee wangwasuma tukalitizame pia.