and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Story za wazee wa miaka ile, walioishi katika ujamaa, waliobahatika walikwenda kusoma Cuba, kipindi hiko Cuba ni Cuba kweli....Walioenda kusoma Cuba wanaelewa Mimi sina la kuongeza
Nadhani hadi leo ndio hutuaminisha Cuba ipo vizuri wakirejea miaka hio ya zamani kitu ambacho si kweli.