mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Kwani baba yenu yeye anasemaje kuhusu mama?Kuna ajabu gani watoto kumuulizia mama yao?
ID yangu umeisoma lakini?isije kuwa wew ndie mwenye matatizoMkuu no offense ila sorry una miaka mingapi?
Ulicho kiandika hapa unatakiwa kutandikwa viboko hadharani.
Amesema anachapa kaziKasimu wa magomen au kariakoo ajasema chochote?
Kuna kitu sijaelewaNimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi?
Kumbukeni Rais nae ni binadam kama sisi tu , Tena ni mwanamke wa shoka ambae damu bado inachemuka ,mwacheni aijenge nchi huko mafichoni ,akirudi atatuambia twende na Lipi Ili sisi wazee wangwasuma tukalitizame pia.
Ndio tunasikiliza jibu la dingi kama mama kaenda kicheni pati ama kaenda hospital kutununulia mdogo wetu au mama ndio yetu ni wa ripoti za mtaani, kakomba mikwanja kala kona.Kwani baba yenu yeye anasemaje kuhusu mama?
Haa Haa Ila JF Ipo Mbali Juu Sana MawinguniKasimu wa magomen au kariakoo ajasema chochote?
Kuna kitu sijaelewa
--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi
--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?
-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali
-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA
Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi
Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi
Samia YUKO wapi, hii ndio hoja ijibiwe