and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Story za wazee wa miaka ile, walioishi katika ujamaa, waliobahatika walikwenda kusoma Cuba, kipindi hiko Cuba ni Cuba kweli....Walioenda kusoma Cuba wanaelewa Mimi sina la kuongeza
Mtu hajui maana ya Rais ni nini kwa ufupi mtu hajui maana ya Mama kama Mama kwa watoto wake.Kwa tuliosoma Cuba tumekuelewa
Tumekuelewa mkuuMtu hajui maana ya Rais ni nini kwa ufupi mtu hajui maana ya Mama kama Mama kwa watoto wake.
Hee! Kumbe hajaonekana! Sasa inakuwaje? Lucas Mwashambwa isagha utuwile.Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi?
Kumbukeni Rais nae ni binadam kama sisi tu , Tena ni mwanamke wa shoka ambae damu bado inachemuka ,mwacheni aijenge nchi huko mafichoni ,akirudi atatuambia twende na Lipi Ili sisi wazee wangwasuma tukalitizame pia.
Kiherehere kivipi? Elaborate more pleaseNimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi?
Kumbukeni Rais nae ni binadam kama sisi tu , Tena ni mwanamke wa shoka ambae damu bado inachemuka ,mwacheni aijenge nchi huko mafichoni ,akirudi atatuambia twende na Lipi Ili sisi wazee wangwasuma tukalitizame pia.
π€π€π€π€π€mwacheni aijenge nchi huko mafichoni
Umamanishe nini unaposema ni MWANAMKE wa shoka "damu inachemka"Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi?
Kumbukeni Rais nae ni binadam kama sisi tu , Tena ni mwanamke wa shoka ambae damu bado inachemuka ,mwacheni aijenge nchi huko mafichoni ,akirudi atatuambia twende na Lipi Ili sisi wazee wangwasuma tukalitizame pia.
Fear of the unknown.. Kifo ni kifo tuuKikwete alivyokwenda Marekani kufanyiwa upasuwaji wa tezi dume alitangaza atakuwa Marekani kwa matibabu kwa wiki mbili.
Sionagi logic yoyote ya kufichaficha mambo ambayo wala siyo ya siri.
Hatuulizi kwa sababu tunampenda, deep inside we wish, huku kutoonekana kwake, kuwe kumesababishwa na jambo kubwa liliompata, ili a RIP! Tupumue! Nayachukia maccm yoteNimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.