Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

Kwanza kaa ukijua mtihani upo kwa ajili ya kupima vitu vingi sana so kila swali lina pima kitu fulani haiwezekani kuwe na aina 1 ya kupima uelewa iwe mwaka wa 3 au 4.
 

Mkuu, mwaga hizo paper tuzione hapa.
 
Basi hata hizo essay zingekuwa zinaangalia uwezo wa kufikri wa mwanafunzi, lakini sasa hivi lecturers wanataka ushushe kama ilivyo kwenye handout. Ni bora hata hizo MCQs mara mia!! Shame on them!!!
 
Basi hata hizo essay zingekuwa zinaangalia uwezo wa kufikri wa mwanafunzi, lakini sasa hivi lecturers wanataka ushushe kama ilivyo kwenye handout. Ni bora hata hizo MCQs mara mia!! Shame on them!!!

Watu wana mtazamo finyu sana kuhusu mitihani.

Wanadhani mitihani tu ndiyo kila kitu wakati sivyo kabisa.

Chuoni huwa kuna term papers, research papers, research presentations, class participation na kadhalika.

Hayo yote pia hupima uwezo wa mtu wa kusoma, kuelewa, kuchanganua, na kufikiri.

Kwa mfano, kwenye presentations (kama UDSM wanafanya hivyo), baada ya ku-present, mtu anaweza akapokea maswali kutoka kwa wanafunzi wenzake, walimu, na hata wageni (waalikwa kama wapo). Na mara nyingi huwa ni maswali ya papo kwa hapo. Sasa kama mtu umekariri tu unaweza kuaibika kabisa.

Uwezo wa mwanafunzi ni vizuri kupimwa kwa njia tofauti tofauti na si maswali tu ya mtihani.
 
Usinikumbushe Machungu, kifupi hii system ya MCQ ni nzuri, lakini kibongobongo inatutesa sana, si tumeshazoea essay, hizo system za MCQ ni za Cambridge huko,
Nimefanya mtihani wa aina hiyo UDSM Under Dr. Bluce Hailman, nilipata 0.5/10
cc Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
MCQ ni nzuri ila swali liwe na a,b,c,d na e ,maswali yasipungue 20 na kila swali liwe na alama 0.5 mpaka 1.
 

Mkuu, ilikuwaje wanafunzi zaidi ya 5000 waliomaliza shule za msingi mwaka 2012 wakafanikiwa ku-guess na kuingia sekondari huku wakiwa hawajuim kusoma wala kuandika?
 
Last edited by a moderator:
Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini

Hapo kwenye red ndipo penye utata, hasa kwa Tanzania.
 


nikusaidie kwa ufupi, mara nyingi hutumiwa kupima uelewa mpana wa maeneo mbalimbali ya course, ikitungwa vizuri ni aina bora ya maswali, essay qns mara nyingi hujiwekeza kwenye sehemu chache. soma vizuri then utaelewa mdogo wangu.
 
MCQ zinalenga kupima eneo moja la ufahamu wa mwanafunzi kati ya cognitive...psychomotor na ....malizia wewe unapenda kutafuniwa...
 
MCQ zinalenga kupima eneo moja la ufahamu wa mwanafunzi kati ya cognitive...psychomotor na ....malizia wewe unapenda kutafuniwa...

mkuu sijakupata hapa,mi najua MCQ inapima lower level ya cognitive domain ambazo ni knowledge na comprehension kidogo! Hebu ongea zaidi tuone...
 
maswali ya multiple choice kama hujasoma na kuelewa unafeli yupo mzungu anaitwa dr bruce udsm anajua anachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…