McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Kwanza kaa ukijua mtihani upo kwa ajili ya kupima vitu vingi sana so kila swali lina pima kitu fulani haiwezekani kuwe na aina 1 ya kupima uelewa iwe mwaka wa 3 au 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana acha kabisa.matiple choice za chuo zinakuhitaji uwe umesoma kitu kwa umakini kuliko essay unaweza tetea point,mfano sisi huku kuna ticha anakupa masharti ya ajabu.na kwenye sehemu mnayo kaa kila mmoja anapewa paper tofauti kidogo.unweza pata 1kati ya kumi na tano maana kila ukitafuta jibu unaona yote yanafanana.nadhani nikikupa paper za ud miaka ya nyuma matiple choice utashuhudia nnayokwambia.pia zinapunguza kutumia mda mwingi kusahiisha,alafu ni kwaajili ya test tu siyo ue
yaan kwa mtindo kama huo unaweza ukashangaa ukaambulia 4/20Kuna mwingine UDSM anaitwa Dr.Fransis. Ndio style yake. Balaa!
yaan kwa mtindo kama huo unaweza ukashangaa ukaambulia 4/20
Basi hata hizo essay zingekuwa zinaangalia uwezo wa kufikri wa mwanafunzi, lakini sasa hivi lecturers wanataka ushushe kama ilivyo kwenye handout. Ni bora hata hizo MCQs mara mia!! Shame on them!!!
blessings
Huwezi gues kitu usichokijua kamwe.
Pia multiple choice question huwa zina maksi kumi na si ishirini kama unavyodai. Kila kipengele kimoja kina 0.5 marks.
Hayo maswali yanaitwa objective questions na yanapima uwezo wa mwanafunzi katika kuelwa,na kutumia muda kwa usahihi. Pia maswali hayo ni magumu kuliko hata aiana nyingine ya maswli hapa UDSM.
Pia si kwamba mtihani mzima huwa una aina hii hii ya maswali huwa kuna aina zingine za maswali kama matching Iterms, na essay questios and true and false.
Nawasisha
Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini
Kuna mwingine UDSM anaitwa Dr.Fransis. Ndio style yake. Balaa!
Multiple choice test questions, also known as items, can be an effective and efficient way to assess learning outcomes. Multiple choice test items have several potential advantages:
Versatility: Multiple choice test items can be written to assess variearning outcomes, from basic recall to application, analysis, and evaluation. Because students are choosing from a set of potential answers, however, there are obvious limits on what can be tested with multiple choice items. For example, they are not an effective way to test students' ability to organize thoughts or articulate explanations or creative ideas.
Reliability: Reliability is defined as the degree to which a test consistently measures a learning outcome. Multiple choice test items are less susceptible to guessing than true/false questions, making them a more reliable means of assessment. The reliability is enhanced when the number of MC items focused on a single learning objective is increased. In addition, the objective scoring associated with multiple choice test items frees them from problems with scorer inconsistency that can plague scoring of essay questions.
Validity: Validity is the degree to which a test measures the learning outcomes it purports to measure. Because students can typically answer a multiple choice item much more quickly than an essay question, tests based on multiple choice items can typically focus on a relatively broad representation of course material, thus increasing the validity of the assessment.
The key to taking advantage of these strengths, however, is construction of good multiple choice items.
A multiple choice item consists of a problem, known as the stem, and a list of suggested solutions, known as alternatives. The alternatives consist of one correct or best alternative, which is the answer, and incorrect or inferior alternatives, known as distractors.
MCQ zinalenga kupima eneo moja la ufahamu wa mwanafunzi kati ya cognitive...psychomotor na ....malizia wewe unapenda kutafuniwa...