#COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

#COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

account hata mwezi haina...

Yaani huyo mama yenu anahangaika..
Wewe ndio unahangaika kwa maswali yasio na kichwa na miguu.Hujui kama COV 19 ,inatakiwa kukaa umbali kidogo Kati ya mtu na mtu.Ndio kunajengwa madarasa ili ipatikane hiyo kukaa umbali wa mwanafunzi na mwanafunzi,kama ushauri wa afya ,unavyotaka
 
Yaani ni kuonesha jinsi gani tunaongozwa na mazuzu yaani choo mpaka kiandikwe COVID 19 kana kwamba korona ni jambo la kujivunia!
Dunia nzima hii ipo,hata huko nchi za Ulaya Amerika,utakutana na maelezo haya na zaidi ya haya.
 
Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
Nchi zote zimepewa misaada,ndio maana ya kuwa na UN(umoja wa mataifa),kilitokea maafa ya aina yoyote,UN(umoja wa Mataifa),kupitia kitengo husika upeleka misaada kwenye maafa.
 
Hakuna nchi yoyote duniani,lazima utakuta ofisi za UN,na vitengo vyake,vya Elimu na sayansi,Afya,Wakimbizi nk.Kama hawataki misaada kwa nini kuruhusu ofisi za UN,nchini mwao.
 
Hata wewe unatakiwa uombe msaada,hapo kwenu mnarundikana kama machungwa.
Hahahahaha
Mwaka wa 6 huu najitegemea, sijapanga. Kuna chumba nimekitenga kwaajili ya kutagia kuku tu njoo nikupe hifadhi hawa kuku nitawatimulia zizini kwao wakaambatane na wenzao
 
Back
Top Bottom