Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wewe ndio unahangaika kwa maswali yasio na kichwa na miguu.Hujui kama COV 19 ,inatakiwa kukaa umbali kidogo Kati ya mtu na mtu.Ndio kunajengwa madarasa ili ipatikane hiyo kukaa umbali wa mwanafunzi na mwanafunzi,kama ushauri wa afya ,unavyotakaaccount hata mwezi haina...
Yaani huyo mama yenu anahangaika..
Dunia nzima hii ipo,hata huko nchi za Ulaya Amerika,utakutana na maelezo haya na zaidi ya haya.Yaani ni kuonesha jinsi gani tunaongozwa na mazuzu yaani choo mpaka kiandikwe COVID 19 kana kwamba korona ni jambo la kujivunia!
Wasukuma hata muandike kwa dhihaka kiasi gani hamuna uwezo wa kumfufua yule Dikteta wa Chato. Yeye ni chakula ya minyoo tuKwa sasa Tanzania haina Rais...
Wewe kwa vile sio mtanzania,utajuwaje kama sisi watanzania tuna Rais au hatuna.Kwa sasa Tanzania haina Rais...
Hakuna nchi isiyopata misaada.Unatakiwa Kujitegemea Hii Ni Miaka 60 Tangu Tupate Uhuru Bado Ata Kujenga Darasa Usubili Mabeberu
Hawa wanaopinga pinga ,sio watanzania,jua hivyo.Ndio maana kuna wakati natamani Samia atumie mkono wa Chuma tuu,ujue mjinga na anayeamini kwenye miujiza na uchawi tena maskini hahitaji demokrasia wala ustaarabu,atakukwamisha....
Hata uwe tajiri vipi,misaada ni lazima.Nchi Yenye dhahabu Armasi tanzanite gess bahari maziwa mbuga za wanyama,
bado inategemea mapato ya tozo kujenga nchi; [emoji15]
Nchi zote zimepewa misaada,ndio maana ya kuwa na UN(umoja wa mataifa),kilitokea maafa ya aina yoyote,UN(umoja wa Mataifa),kupitia kitengo husika upeleka misaada kwenye maafa.Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
Kulianzishwa UN(Umoja wa Mataifa),ili kukitokea maafa,kutolewe misaada,ndio maana yake.Mataifa omba omba yanatia kinyaaaa
Hata wewe unatakiwa uombe msaada,hapo kwenu mnarundikana kama machungwa.Hahahahahaha
Kwahiyo waliwapa habari mabeberu kuwa watoto wanarundikana kama ndizi darasani?
kumbe bado sijaona mengiπππππππ
View attachment 2051005
Hata uwe tajiri vipi,misaada ni lazima.
Kulianzishwa UN(Umoja wa Mataifa),ili kukitokea maafa,kutolewe misaada,ndio maana yake.
HahahahahaHata wewe unatakiwa uombe msaada,hapo kwenu mnarundikana kama machungwa.