Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Wale ambao Lissu kawafataa....
Walio iba madini....
Waliotuingiza mikataba feki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naiona tofauti . Mabeberu ni hawa wanaong'ang'ania madaraka hata pale uwezo wao wa kuongoza nchi unapokuwa umefikia ukomo. Hawa walio tayari kuuwa wananchi wa Tanzania mradi wabaki madarakani. Mbinu hizi hata makaburu wa SA na pote duniani walizitumia.Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Mabeberu ni neno la enzi za mwalimu. Wote ambao hawakua wanaunga mkono sera za kijamaa waliitwa mabeberu, wanyonyaji, wasiotutakia mema na mambo mama hayo.
Watu wote waliokua wanahoji utendaji kazi wa mwalimu aliwaita mabeberu. Ukimpinga mwalimu unakua beberu.
Mabeberu kwa ujumla ni wazungu. Wazungu hao wakituchangia kwenye bajeti na miradi wanaitwa wahisani na washirika wetu wa maendeleo. Wakihoji matumizi ya pesa walizotupatia kama msaada wa maendeleo na kusaidia bajeti wanakua mabeberu.
Wale ambao Lissu kawafataa....
Walio iba madini....
Waliotuingiza mikataba feki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona akili ndogo ya Lumumba sasa ?!. Mungu tusamehe.Mabeberu ni wanasiasa wote wanaopinga kwa nguvu ubaguzi wa rangi tena wanashirikiana na wazungu kupanga njama za kuleta demokrasia ambayo kimsingi katika bara la Afrika demokrasia ni adui wa maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mwingine huwa tunachangia kujua kuna wajinga wangapi watakao unga mkono reply mbovu. Mimi sio wa Lumumba mkuu Odhiambo cairo
Hakuna cha mabeberu wala maajuza, ni kwamba pumzi imekwisha! Yote hayo yametokana na kuwa hoja za Lissu hazijibiki!