Kuuliza si ujinga: Katika ugo wa kisiasa hapa Tanzania, 'Mabeberu' ni akina nani hasa?

Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya,
Hicho ndicho kinachofanyika katika propoganda za ubeberu kwa watu wenye mawazo tofauti na utawala.
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitupa pesa tunawaita wadau wa maendeleo, tukivuta cha Arusha tunawaita mabeberu
 
Hivi hoja ya zile CCTV camera zilizoondolewa wanajibuje? Walinzi kuondolewa siku hiyo wanajibuje? Watoe nje Mimi nitapambana nao huku nje utajibuje? Bashinenga kutokuwepo daslamu wakati wa kuwasilisha ripoti ya makinikia unajibuje? Jalada la uchunguzi kufika kikomo bila ya suspect kukamatwa unajibuje? Kugoma kutoa matibabu unajibuje? Hoja za Lissu sio za mchezo mchezo
Hizo hoja mnazotaka zijibiwe ni zipi, hakuba lolote la maana analolizungumza, ila kilio cha maafa yaliyomkuta, na habari za kuokotwa na kuletewa na washabiki wake.

Huyo ni a wolf cryer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
February 20, 2018

Kongamano la "Wenye Nchi ni wananchi'
Hakuna mwenye ukiritimba / monopoly wa ukweli - by Jenerali Ulimwengu

Mkutano wa CHANGE TANZANIA Kongamano la "Wenye Nchi ni wananchi' : vijana tujijaze taarifa ; elimu ; ujuzi ; busara ; mabadiliko ni lazima ; uanaharakati lazima kwa vijana ; uanaharakati ni movement yaani kutembea toka eneo moja hadi jingine movement ; hata peponi kunaweza kuboreshwa ; engineer njoo hapa ; Voltaire Galileo Semvua Barongo Mzunda
Source : millard ayo
 
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
Ikiwa wewe mwanasheria msomi hujui tena sisi kina kapuku tutendeje ? acha tashtiti zako kama vipi mfuate shangazi akupige brash maana unakoelekea kubaya.
 
Kongamano la "Wenye Nchi ni wananchi'
Maswali na Majibu ya dhana ya ukweli ni nini kwa Jenerali Ulimwengu
Mkutano wa CHANGE TANZANIA
 
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?

ACACIA ni "Mabeberu" lakini Barrick ni "Wanaume". Kumbuka pia kuna mabeberu wa ndani wao kazi yao ni kuhodhi madaraka na kutumia kila njia (zilizo halali na zisizo halali) kutawala wengine. Fikiria kule Korogwe kuna jamaa kwa masaa 5 nao wakiwa zaidi ya 10 walishindwa kutambua ofisi ya uchaguzi iko wapi ingawapo hapo ndio walipo pewa fomu.
 
Swali zuri sanaaaaa. Na sisi ndo mbizi jike
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Slogan ya Mabeberu inatumiwa na mijitu ya Lumumba kama mwamvuli tu wakuficha maovu Yao ..ili hata pale itakpo tokea watu watakao anza kuikosoa serikali... serikali ya ccm ianze kuwaambia wananchi mnaona hao wametumwa na mabeberu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?

Msomi na wakili Petro E. Mselewa,
Kuna mabeberu wa nje na mabeberu wa ndani. Wale mabeberu nje niwaacha maana ni ngumu kuwa-associate kutoka maana wamejificha katika sheria za mchezo unautumika katika vita unaitwa "infinite domain"> niache siku nyingine ntawajadili.

Msingi wa beberu ni unyonyaji wa kiuchumi na lengo ni kuhakikisha walio wengi hawainuki.

Mathalani kwenye sekta ya maziwa kuna kiwanda kimoja cha maziwa kinamilkiwa na wale Watanzania wa asili ya Asia. Huyo mwekeaji nia aina ya mabeberu. Ananunua Lita ya maziwa fresh kwa wakulima na anawalipa sh. 900 mwisho wa mwezi kwa ujazo ambao atakuwa kanunua. Yeye anauza lita moja kwa kati ya sh. 4,000-5,000 (huyu mwekezaji japo ni wa ndani ni beberu)

Kuna kampuni moja Iringa tola Ulaya inanunua debe la mahindi kwa sh. 2,000 toka kwa wakulima. Gharama za uzalishaji wa debe la mahindi ni zaidi ya 2800. Hilo kampuni nalo ni la kibeberu.

Korosho zimekuwa zikinunuliwa kwa sh. 3,000 - 4,000 na madalali wa ndani wao wanaenda kuuza kg 1 kwa zaidi sh. 40,000 kwa kg baada ya kubangua.

Kuna wanunuzi wa pamba wananunua kwa chini sh. 1600 kg moja ya pamba. Wao wanakishai-chakata, wanauza kwa faida zaidi ya mara 5 ukilinganisha na gharama ya manunuzi. Kama tungeichakata na kutoa final products tungepiga bao kweli kweli.
tuchungulie nini robota la pamba linazalisha Australia
Uses of Cotton | Cotton Australia

Nihitimishe kwa kusema, mfumo wa uchumi wetu unacheza finite domain rules, wakati mabeberu wa ndani na nje wanatumia infinite domain rules.
Ili tushinde tunahitaji mtu wa aina ya JPM ambae yuko radhi kutumia infinite game rules ili tukae mezani na mabeberu iwe wa ndani au nje kwa nia ya kuja na sheria mpya za mchezo.
So far, mpaka sasa JPM ana team ya watu wachache sana ambao morally wana nia ya kweli ya kupigana na mabeberu ana wanajua key strategies and tactical methods to win the war. JPM ana akili sana, alikuwa radhi kupoteza some few battles including kuyazuia makiniakia ili aje ashinde vita (war) katika deal ya ACACIA.

Moja ya eneo tunapigwa sana na kupoteza fedha nyingi ni kwenye kilimo. Ulaya na Marekani wakulima ni Ma-Don... ila wanacheza infinite game rules kuhakiki, wakulima wa bongo wanabaki choooookaa mbaya and so uchumi mzima unakuwa hoi
 
Namna ya kumsalimia beberu kwa heshima![emoji1][emoji1][emoji1]
tapatalk_jpeg_1550671060042-1.jpeg
 
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
Samahani mkuu na Mimi sielewi Mzalendo maana yake Nini, hebu fafanua maana ya Mzalendo/Uzalendo hasa hii ambayo imekuwa ikongelewa Sana siku hizi kuwa vijana kuweni wazalendo au watu wasio wazalendo [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu ni neno la enzi za mwalimu. Wote ambao hawakua wanaunga mkono sera za kijamaa waliitwa mabeberu, wanyonyaji, wasiotutakia mema na mambo kama hayo.

Watu wote waliokua wanahoji utendaji kazi wa mwalimu aliwaita mabeberu. Ukimpinga mwalimu unakua beberu.

Mabeberu kwa ujumla ni wazungu. Wazungu hao wakituchangia kwenye bajeti na miradi wanaitwa wahisani na washirika wetu wa maendeleo. Wakihoji matumizi ya pesa walizotupatia kama msaada wa maendeleo na kusaidia bajeti wanakua mabeberu.
Makabaila, mabwanyenye, sio wenzetu...
 
  • Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
  • Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
  • Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
vs jiwe!
 
Back
Top Bottom